Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,299
- 9,798
Rais mwizi wann atatuuza
Umesha lishwa fedha za ufisadi na mdomo wako umefungwa.
IT ya Lumumba @ work
More than you. Blessings are from the God, period. Wewe endelea kula fedha chafu za fisadi na usubiri kiyama yake.
safi xana umenena yan mie na lowassa ata nikibaki peke yanguMr.Chin taasisi fisadi inazaa mafisadi CCM fisadi unategemea Rais atakuwa msafi?Kwa taarifa yako hakuna MSAFI ndani ya CCM hilo wana CCM wote wanalijua mkuu
Mnaogopa sana ukweli. Subiri kiyama yenu inakuja.IT ya Lumumba @ work
Hapa ni akili kubwazz ndio maana huwezi kunielewa.Acha kutumika tumia akili yako.
![]()
![]()
Mtakumbuka hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amenukuliwa akisema kuwa chama hicho kina wafadhili watano ambao hatawataja hadharani kwa kuhofia vyombo vya dola kuwafuatilia. Binafsi nilishtushwa sana na kauli hii ya Mbowe na nilijawa na shauku ya kujua ni akina nani hao na kama wanasaidia chama kwa good faith, iweje wafuatiliwe na vyombo vya dola? Mbona Mustapha Sabodo amekuwa akikisaidia chama hicho hadharani na wala hajawahi kuguswa na vyombo hivyo?
Who cares with your Swahili. Tanzania ipo pale pale na hatutaki kiongozi fisadi.Yaani hata kiswahili hajui, inaonyesha hata picha kwenye karatasi ya kura hatamtambua huyo fisadi, matokeo yake atampa kura ya ndio, sijui wameokotwa wapi hawa:what: au ni wale wakimbizi waliopewa uraia:what:
Jifunze kufanya simple research maana wewe hata picha imekushinda kuielewa.Ufisadi wa Lowasa ni upi na alichukua shilingi ngapi na mlimchukulia hatua gani..Watanzania hatutaki kusikia hayo mashaili ya ufisadi, tunataka ccm mtuambie mmefanya nini ndani ya miaka 54!
Wakwanza ni Lowassa.Mbona husemi kwenye orodha ya mafisadi ukianza namba moja mpaka nane ni wakina nani?.
Keep on guessing, I am not a blind follower like you.
Hatutafuti mtakatifu tar 25.10.2015 bali tunamtafuta mtu sahihi kupitia chama chake wakutuvusha mbali hapa tulipo na maendeleo yaendane na resources tulizonazo , sasa ukiangalia kati ya hawa viongozi wawili ambao ndio wanapewa nafasi kubwa yani LOWASA na MAKUFURI hakuna msafi mana LOWASA anahusishwa na ufisadi wa dowans na MAKUFURI anausishwa na upoyevu wa bil 40 za uuzaji wa nyumba za serikali na pia ugawaji wa nyumba kwa watu sio wafanyakazi wa serikali ambao ni hawala yake sundi pamoja na kaka yake mussa, sasa tusiwe wanafiki hawa wawili hakuna msafi ila kwakuwa wa Tz hatuna akili na tunapelekwa na miemko ya siasa ya kufuata upepo na ushabiki usio na maana tunajikuta tunapotea nazani ni muda sahihi LOWASA na MAKUFURI waitwe wazungumzee izi issue watuweke wazi, nazani tunaitaji kujua zaidi watueleze kwanini wanatuhumiwa![]()
![]()
Mtakumbuka hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amenukuliwa akisema kuwa chama hicho kina wafadhili watano ambao hatawataja hadharani kwa kuhofia vyombo vya dola kuwafuatilia. Binafsi nilishtushwa sana na kauli hii ya Mbowe na nilijawa na shauku ya kujua ni akina nani hao na kama wanasaidia chama kwa good faith, iweje wafuatiliwe na vyombo vya dola? Mbona Mustapha Sabodo amekuwa akikisaidia chama hicho hadharani na wala hajawahi kuguswa na vyombo hivyo?
Mtu sahihi na thabit na msafi namuadilifu ni Mh. John Magufuli. Fisadi Lowassa hana chake.Hatutafuti mtakatifu tar 25.10.2015 bali tunamtafuta mtu sahihi kupitia chama chake wakutuvusha mbali hapa tulipo na maendeleo yaendane na resources tulizonazo , sasa ukiangalia kati ya hawa viongozi wawili ambao ndio wanapewa nafasi kubwa yani LOWASA na MAKUFURI hakuna msafi mana LOWASA anahusishwa na ufisadi wa dowans na MAKUFURI anausishwa na upoyevu wa bil 40 za uuzaji wa nyumba za serikali na pia ugawaji wa nyumba kwa watu sio wafanyakazi wa serikali ambao ni hawala yake sundi pamoja na kaka yake mussa, sasa tusiwe wanafiki hawa wawili hakuna msafi ila kwakuwa wa Tz hatuna akili na tunapelekwa na miemko ya siasa ya kufuata upepo na ushabiki usio na maana tunajikuta tunapotea nazani ni muda sahihi LOWASA na MAKUFURI waitwe wazungumzee izi issue watuweke wazi, nazani tunaitaji kujua zaidi watueleze kwanini wanatuhumiwa
Mtu sahihi na thabit na msafi namuadilifu ni Mh. John Magufuli. Fisadi Lowassa hana chake.