- Thread starter
- #21
Wooooh, pains pains pains. You are getting it now.naomba kuuliza ni nani aliyekaa ikulu akatoka bila kufisadi nchi kumtoa nyerere naomba jibu
Wooooh, pains pains pains. You are getting it now.naomba kuuliza ni nani aliyekaa ikulu akatoka bila kufisadi nchi kumtoa nyerere naomba jibu
Umesha lishwa fedha za ufisadi na mdomo wako umefungwa.
More than you. Blessings are from the God, period. Wewe endelea kula fedha chafu za fisadi na usubiri kiyama yake.Hivi unaelewa?? Kwani m nimekuomba wewe baraka?? Jitambue mkuu
Keep on guessing, I am not a blind follower like you.Nafikiri ulijiunga JF kushambulia watu, unajisikiaje lakini maendeleo ya kazi yako hii? Baada ya uchaguzi mkuu utaendelea na kazi ya kuattack watu ama unapangiwa kazi nyingine? Na vipi kazi hii ndiyo unaitegemea kujiingizia kipato ama una kazi mbadala?
Support your malarkey with evidence.mbn tuna rais fisadi mpk ss hv...kikwete....lowasa ndiye rais bora fisadi kuliko mafisadi na bora mgonjwa kwsbb wazima hao wameshindwa miaka 54 ya uhuru
![]()
![]()
Mtakumbuka hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amenukuliwa akisema kuwa chama hicho kina wafadhili watano ambao hatawataja hadharani kwa kuhofia vyombo vya dola kuwafuatilia. Binafsi nilishtushwa sana na kauli hii ya Mbowe na nilijawa na shauku ya kujua ni akina nani hao na kama wanasaidia chama kwa good faith, iweje wafuatiliwe na vyombo vya dola? Mbona Mustapha Sabodo amekuwa akikisaidia chama hicho hadharani na wala hajawahi kuguswa na vyombo hivyo?
Is this all you have? Very sad ukawanite.kama ni hivyo bora tumpe fisadi aliyetosheka kuliko tumpe mwenye njaa aanze kutembeza bakuli
Huyo mnayempigia debe sio mwizi? marumbesa ya stanbic aliyeyalamba mnamjua? bingwa wa madawa ya kulevya na pembe za ndovu mnamjua? kama hamumjui mna uhakika gani mtu wenu hahusiki? na kwanini hizo orodha za hao wahalifu mnazilinda na kuzificha? ni kwa faida ya nani? kabla hamjaziweka hadharani hatuwezi kuwakubali kwamba mtu wenu sio FISADI nyangumi![]()
![]()
Mtakumbuka hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amenukuliwa akisema kuwa chama hicho kina wafadhili watano ambao hatawataja hadharani kwa kuhofia vyombo vya dola kuwafuatilia. Binafsi nilishtushwa sana na kauli hii ya Mbowe na nilijawa na shauku ya kujua ni akina nani hao na kama wanasaidia chama kwa good faith, iweje wafuatiliwe na vyombo vya dola? Mbona Mustapha Sabodo amekuwa akikisaidia chama hicho hadharani na wala hajawahi kuguswa na vyombo hivyo?
Umemwona Fisadi na mkewe kwenye picha. Sasa pigana na picha kama unaweza. Maneno meengi hayasaidi kitu. Jamaa ni Fisadi kwenye damu, fisadi kwenye ubongo roho yake, fisaidi kwenye nafsi yake. Ni wa kuonea huruma tu. Mafisadi hawata ingia mbiguni.Huyo mnayempigia debe sio mwizi? marumbesa ya stanbic aliyeyalamba mnamjua? bingwa wa madawa ya kulevya na pembe za ndovu mnamjua? kama hamumjui mna uhakika gani mtu wenu hahusiki? na kwanini hizo orodha za hao wahalifu mnazilinda na kuzificha? ni kwa faida ya nani? kabla hamjaziweka hadharani hatuwezi kuwakubali kwamba mtu wenu sio FISADI nyangumi
Hivi mna jipya nyie? Huo mzigo unawashinda kuubeba sasa. Subiri mlipuko unakuja,Bora fisadi kuliko rundo la mafisadi walioko ccm....mr chin yuko kwenye kibarua chake toka lumumba na sio kwamb ana akaunti moja anayo mengi sn..hp unakuta ni mtu mmoja ana koment maana lumumba iliwaambia vjn wao kila mmoja awe na akauti 7 facebook na jf na ndio kibarua chao ikifika jioni wanapokea posho lumumba
Umemwona Fisadi na mkewe kwenye picha. Sasa pigana na picha kama unaweza. Maneno meengi hayasaidi kitu. Jamaa ni Fisadi kwenye damu, fisadi kwenye ubongo roho yake, fisaidi kwenye nafsi yake. Ni wa kuonea huruma tu. Mafisadi hawata ingia mbiguni.
Keep on guessing, I am not a blind follower like you.
Umelisoma bango lakini?......"ikuruni mahiri....." Ndio kitu gani hiki?
Nafikiri ulijiunga JF kushambulia watu, unajisikiaje lakini maendeleo ya kazi yako hii? Baada ya uchaguzi mkuu utaendelea na kazi ya kuattack watu ama unapangiwa kazi nyingine? Na vipi kazi hii ndiyo unaitegemea kujiingizia kipato ama una kazi mbadala?