Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 11,293
- 25,771
Rejea title, rejelea jukwaa.
Ukitaka mada za maana nenda siasani kule ukqjionee vioja. Watanzania wanafki sana, tuambizane ukweli kwa kutoambizana kweli.
Niyasemayo ni haki, na dhahiri shahiri tumezidi ufinyangu na ubazazi. Na baadhi ya ndugu zangu hasa wa kusini kule tumbunguze mitishamba na ulozi ili tuendelee walau thumuni.
Juzi tu tulitoka kuambia Vunjabei katoka familia hali mbaya, kasevu bumu kaja kuchanga na mwemzake milion 2 kwa milion 4 aliyotoa framk knows ikawa 6 akachukua mzigo china. Wakati vunja bei kakaa bongo anaunga unga mwana. Baada ya baba yake kufa ndo mambo hadharani!
Leo hii umaambiwa anzia ulipo, toka magetoni sijui... changamka na jichanganye mwishoni uchanganyikiwe tu. Kama kuna mtu kakaa vibaya humuelewi toka hata kafara umpunguzie dhambi mwa mungu mradi ya kwako yaende. Acha kusikiliza porojo na tantalila za hawa watu utachelewa na kupotea kabsaaaaa! Alaaah!