Ni mambo ya kusikitisha lakini ndio ukweli.
Watanzania hatuna uzalendo kabisa.
Kila mtu anawaza ubinafsi wa kiwango cha juu sana.
Hatuko kitu kimoja.Adui akiingia,atafanikiwa kama M23 wanavyofanikiwa kuiteka Congo wapendavyo
.Tumekuwa kama wacongo,hatuna uzalendo kabisa.
Jambo hili ni hatari.
Sijui nini kifanyike maana nikipita vijijini,watu wanayoongea utadhani sio watanzania bali sana nchi nyingine ya kufikirika.
Mungu ibariki Tanzania