Watanzania acheni unafiki

Kwa hili la unafiki usitukane watanzania. Usiende mbali ,show me mbunge wa CCM and I will show you a hypocrite.
 


Kwa sababu alikuwa bungeni na ameyaona mengi ya kijinga yakitendeka.....akagombea urais na kushinda kwa mbinde. Lengo lake limetimia na ndiyo maana anafuatilia uozo wa kila idara/sekta na kutumbua ipasavyo, tatizo ni nini hapa?
 
pp
povu mange kafikaje hapa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…