Bungeni wanapitisha mikataba??? Acheni kuchanganya mambo kwa sababu za chuki zenu.Magufuli naye ni mpya kwenye CCM?
kipindi kile mikataba ya madini inapitishwa BUNGENI hakuwepo?
Si ndio huyu huyu aliyekuwa akipinga kwa nguvu zote hoja za wapinzani kuhusu mapungufu ya mikataba hii?
Bogus!kwahiyo yeye pekeyake angepinga basi ndio hiyo sheria isingepitishwa?!Unaijua nafasi ya Waziri lakini wewe?!Kwahiyo Magufuli ndio alikuwa na uwezo wa kufanya sheria hiyo isipite?!Vipi Lowassa na Sumaye walokuwa huko na wao waliipitisha sheria hii ila leo wamekuwa mahero kwenu!!Wanafiki wa kwanza ni nyie,aibu!aibu!aibu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu naona inawezekana hili jambo kwako ni geni ila naomba nikukumbushe kuwa wabunge wa upinzani walilipigia kelele sana jambo hilo na rais akiwa ndani ya baraza LA mawaziri wa awamu zilizopita akishiriki kutunga na kupitisha sheria zilizoruhusu Mchanga huo kutoka.Kama sio unafiki ninini?
Kwa nini hakupinga kipindi kile sheria na kanuni hizo zikipitishwa? Acheni ujinga wala hapaswi kusifiwa ila anapaswa kulaumiwa coz ni yeye pia aliyehusika tukafika hapa tulipofika,wala sio suala la kumbebesha mzigo Mhongo hapana.
Kama yeye amedhamiria kweli awaondolee kinga ya kushitakiwa marais waliohusika katika kadhia hiyo.
Zaidi ya hapo uhuni mtupu,wamekula wamemaliza sasa wanatutafutia mchawi.
Unaelewa maana ya serikali?? Unaelewa serikali inaundwa na nini /nani?? Hivi Unaelewa jambo likishapitishwa serikalini linasubiri baraka za wabunge wapitishe?? Na hapo utakapoelewa kwa nini Chama kinachounda serikali kinahitaji kuwa na wabunge wengi wa upande wake.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu naona inawezekana hili jambo kwako ni geni ila naomba nikukumbushe kuwa wabunge wa upinzani walilipigia kelele sana jambo hilo na rais akiwa ndani ya baraza LA mawaziri wa awamu zilizopita akishiriki kutunga na kupitisha sheria zilizoruhusu Mchanga huo kutoka.Kama sio unafiki ninini?
Kwa nini hakupinga kipindi kile sheria na kanuni hizo zikipitishwa? Acheni ujinga wala hapaswi kusifiwa ila anapaswa kulaumiwa coz ni yeye pia aliyehusika tukafika hapa tulipofika,wala sio suala la kumbebesha mzigo Mhongo hapana.
Kama yeye amedhamiria kweli awaondolee kinga ya kushitakiwa marais waliohusika katika kadhia hiyo.
Zaidi ya hapo uhuni mtupu,wamekula wamemaliza sasa wanatutafutia mchawi.
Anatamani kujua mambo ila hana Elimu au uwezo wa kuyajua!!basi anaparamia kila lisemwalo na kuliamini..mwalimu wake mkubwa ni Mange!!mtu ambaye ameshaprove failure kwenye maisha yake!!Karogwa huyu, hizi akili za kushikiwa hivi unaanzaje kukejeli kwa inshu kama hii, of kozi hatukatai kukosoa pale palipo na mapungufu sasa mtu anakuja kuzungumzia unafiki as if ni big issue. Hivi kuna mwanasiasa ambaye si mnafiki???
Utanielewa tuu mkuu,hapo na maanisha hili jambo siyo lakuambiwa nakuanza kusherehekea hapa ndipo ilitakiwa watanzania tuhoji,kwanini,ninani,mkataba uko wapi,nani walihusika nakuupisha huu mkataba mbovu,je hili jambo nila leo halja wahi zungumziwa, nakama lili zungumziwa matokeo yake yako wapi,nakama yapo kwanini wali kaa kmya,je kpibdi hicho wana jadili bungeni Raisi wetu alikuwapo bungeni,je alichukua uamzgani hapo bungeni?hyo ndo ilikuwa maana Yangu mkuu maana wa Tanzania tumekuwa nakasumba yakushabikia jambo bila kuhoji.Umeandika nini mkuu au ni mimi tu sijakuelewa???
Kumsifia kwa hili la mchanga siyo unafiki, Atakapofanya mazuri yenye kugusa maisha yetu tutamsifia, Akifanya yasiyofaa yatakayogusa maisha yetu pia tutamkosoa. Kwa hili tutampongeza na kumuunga mkonoMm siyo mnafiki ata kidogo kuna wanafiki wameazisha huku nyuzi za kumsifia magufuli
Niliposema umeandika nini sikuwa na maana ya kutaka kueleweshwa bali ni mpangilio wako wa serikali sentensi (grammatical errors).Utanielewa tuu mkuu,hapo na maanisha hili jambo siyo lakuambiwa nakuanza kusherehekea hapa ndipo ilitakiwa watanzania tuhoji,kwanini,ninani,mkataba uko wapi,nani walihusika nakuupisha huu mkataba mbovu,je hili jambo nila leo halja wahi zungumziwa, nakama lili zungumziwa matokeo yake yako wapi,nakama yapo kwanini wali kaa kmya,je kpibdi hicho wana jadili bungeni Raisi wetu alikuwapo bungeni,je alichukua uamzgani hapo bungeni?hyo ndo ilikuwa maana Yangu mkuu maana wa Tanzania tumekuwa nakasumba yakushabikia jambo bila kuhoji.
Nime kuelewaNiliposema umeandika nini sikuwa na maana ya kutaka kueleweshwa bali ni mpangilio wako wa serikali sentensi (grammatical errors).
Kujibu ulichokiandika angalia post namba 65...!!!!
Kumbe tz ishawahi kuwa na uchumi mzuri....Shukurani kwa lipi lizuri alilofanya kutuaribia uchumi wa nchi kutufanya maskini labda kwa ayo tutamshukuru
kwenye mkondo wa mto uchafu nao hupoHuyu rais alikuwa bungeni toka 1995 alikuwa ni mmoja wa wabunge wa ccm aliyepitisha hizi sheria aliyajua yote aya ila aliacha tuibiwe huyu rais alikuwa mtu ambaye naye aliwabeza wapinzani kuhusu muhongo alikuwa bungeni muhongo akilidanganya bunge alikuwa kwenye serikali zote zilizopita kama kiongozi lakini akuna ata siku moja alipinga ilo jambo leo anaona eti tunaibiwa huyu mtu ni mnafiki sijawai kuona katika dunia hii huyu magufuli alitupiga vijembe kuhusu muhongo leo anatuambia muhongo ni mbaya hapana huyu ni mnafiki kabisa akuna kitu hapa tumeigiziwa tu
Sawa mkuu...!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umemtetemesha mwenzako huko ma.vi tu...!!!