MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Hawa walishajikana wakasonga mbele, hawakutaka kushiriki unafiki huu wa Bw.Magufuli.Mnafiki kama Lowasa na Sumaye
Jestina toto la Masakii..Mkuu ulikuwa unataka nini?.. Kwa hio kama zamani walilifumbia macho hili swala then,na utawala huu wafumbie macho????
Magufuli naye ni mpya kwenye CCM?Mkuu ulikuwa unataka nini?.. Kwa hio kama zamani walilifumbia macho hili swala then,na utawala huu wafumbie macho????
Yeah, maana nao pia walikuwepo awamu zoteMnafiki kama Lowasa na Sumaye
Nashauri watanzania tusiwe kama wapumbavu au bendera upepo ukiamia uku tupo ukija huku tupo
Jestina toto la Masakii..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu naona inawezekana hili jambo kwako ni geni ila naomba nikukumbushe kuwa wabunge wa upinzani walilipigia kelele sana jambo hilo na rais akiwa ndani ya baraza LA mawaziri wa awamu zilizopita akishiriki kutunga na kupitisha sheria zilizoruhusu Mchanga huo kutoka.Kama sio unafiki ninini?Hivi unajua sera za Magufuli na mikakati yake ni tofauti na JK?!Kwahiyo kilichomshinda JK basi JPM akiache na yeye kisa tu Kikwete kilimshinda?!
Munakera sana na umbumbumbu wenu,hebu nendeni mukasome huko ata google jamani!!aibu aibu !!Elimu,Elimu
Hawa sio wanafiki maana waliukataa huu mfumo na wakaonyesha kwa vitendo kwa kujitenga nao.Mnafiki kama Lowasa na Sumaye
Vipi nchi haina sheria za kuwadhibiti wezi?Baada ya kumaliza kutuibia kupitia ccm, sasa wanataka waendelee kutuibia kupitia chadema??
Acha kuchanganya mambo, mikataba inapitishwa bungeni???Wewe ndiyo umekurupuka kunijibu paka huo mchanga kusafirishwa kuna mikataba iliyopitishwa bungeni na huyu magufuli alikuwa unadhani walikurupuka tu kusafirisha siku nyingine usiwe na mihemko
Karogwa huyu, hizi akili za kushikiwa hivi unaanzaje kukejeli kwa inshu kama hii, of kozi hatukatai kukosoa pale palipo na mapungufu sasa mtu anakuja kuzungumzia unafiki as if ni big issue. Hivi kuna mwanasiasa ambaye si mnafiki???Umetoka instagram huko kwa chizi wenu mange ndio unatulea povu lako humu!we unajua nini kuhusu madini na usafirishaji wake?! Kuna mkataba wowote unaujua kuhusu usafirishaji?!
Wewe na Magufuli nani anajua zaidi?!hivi unaujua uzembe wa Muhongo katika hili kweli au unapovuka tu!?kama hujui ni heri tu ukakaa kimya!!
Kwahiyo magufuli asikemee chochote kile kibaya kinachotokea kwasababu tu itaonekana makosa yalifanyika nyuma kwa hiyo viongozi wasasa hawahusiki basi wasiwajibishwe?!bogus kabisa,mnyonge mnyongeeni haki yake mpeni,Muhongo alifanya uzembe uliotukuka...
Ahsante Magufuli
Kwani Muhongo katimuliwa kwa makosa ya ufisadi??Mnafiki kama wana fisiem wote jana muhongo alikuwa rafiki yenu leo ni fisadi
Umeandika nini mkuu au ni mimi tu sijakuelewa???Mleta uzi minisha sema humu mi tz niminafiki kunya haina lolote inaona leo tuu ata jana isha sahau kesho ndo kabisaa haijui,butua twende.
Zungusha sana mikono ili Lowasa awe rais mambo yaende sawa tuiuze nchi. Kwa sasa endelea kuwa tarishi wa sultan Mangungu.Shukurani kwa lipi lizuri alilofanya kutuaribia uchumi wa nchi kutufanya maskini labda kwa ayo tutamshukuru
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umemtetemesha mwenzako huko ma.vi tu...!!!Kumbe mwoga hivyo,usirudie tena sawa mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa mtu anashindwa hata kuweka vituo katika sentensi zote unafikir itakuwa rahisi kueleweka anachoongea???Weka vituo mkuu, nimeshindwa kusoma maana pumzi inakata.
Hapo sasa umeeleweka lakini si ushuzi uliouandika huo...!!!Mm akuna kitu atafanya huyu kiumbe niache kupinga kwasababu akuna linalo nifuraisha yote ovyo kabisa