Watanzania acheni unafiki

mkuu legeza ubongo uelewe vitu vidogo..tatzo sio mkataba wa kusafirisha mchanga tatzo kuna uhuni unafanyika akat mchanga unasafirishwa
watendaji wanaeka mashine zinazoshndwa kudetect gold na madin mengne
kama kwenye ule mchanga kusingekua na magumash basi wangeendelea kuusafirisha tu kama kawaida
sio kila kitu tunampinga rais,,kwa hili wote tuwe nyuma ya rais wetu
 
Mleta uzi minisha sema humu mi tz niminafiki kunya haina lolote inaona leo tuu ata jana isha sahau kesho ndo kabisaa haijui,butua twende.
 
Sawa sisi tuache unafiki wewe acha tabia za kike au tutakurudisha kwenu burundi
 
Kwahiyo mnataka kutuambia huo Mchanga umeanza kupelekwa nje kipindi cha Mhongo kuwa waziri?
 
Uwezo wako wa kufikiri mdogo sana!!Aidha ni kwamba hujui sakata hili kwa kina au umemezeshwa matango pori!!

Hebu jaribu hata kugoogle basi uone kiini cha tatizo hili ni nini na Muhongo amekosea wapi!!usipinge vitu ikiwa hujui hata sababu!
 
Umenifurahisha jinsi ulivyomaliza.Kwa kweli Asante Magufuli.
 
Yaani huyo ametoka instagram huko kwa Mange akabeba kama yalivyo akatuletea humu ndani!hata hajui sababu hasa ya tatizo ni nini hajui[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo mnataka kutuambia huo Mchanga umeanza kupelekwa nje kipindi cha Mhongo kuwa waziri?
Hivi unajua sera za Magufuli na mikakati yake ni tofauti na JK?!Kwahiyo kilichomshinda JK basi JPM akiache na yeye kisa tu Kikwete kilimshinda?!

Munakera sana na umbumbumbu wenu,hebu nendeni mukasome huko ata google jamani!!aibu aibu !!Elimu,Elimu
 
Uwezo wako wa kufikiri mdogo sana!!Aidha ni kwamba hujui sakata hili kwa kina au umemezeshwa matango pori!!

Hebu jaribu hata kugoogle basi uone kiini cha tatizo hili ni nini na Muhongo amekosea wapi!!usipinge vitu ikiwa hujui hata sababu!
Wako ndiyo mdogo kabisa
 
Weka vituo mkuu, nimeshindwa kusoma maana pumzi inakata.
 
Mm akuna kitu atafanya huyu kiumbe niache kupinga kwasababu akuna linalo nifuraisha yote ovyo kabisa
 
Nimekukubali Mkuu! Labda angeondoka CCM, halafu aongee haya tungemuelewa.
 
Mkuu ulikuwa unataka nini?.. Kwa hio kama zamani walilifumbia macho hili swala then,na utawala huu wafumbie macho????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…