Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,827
- 16,024
Sasa hii emoji ya nyani umeiweka mwishoni kumaanisha nini 😂😂Kwa usalama zaidi, ni vizuri wakarejea nyumbani haraka,
Hakuna haja ya kung'ang'ania au kulazimisha kuishi mahali ambapo wenyewe hawakutaki 🐒
