Watanzania 2 wakamatwa.

Watanzania 2 wakamatwa.

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,988
Reaction score
1,437
Taarifa nilizozipata mda si mrefu kuna Watanzania wawili wamekwamatwa na madawa ya kulevya wakiingiza Korea ya Kusini ya kitokea Tanzania kwa Air Emirates katika uwanja wa Incheon Internatal Aiport -KOREA.
 
kaka hapo ni ishu kubwa,bt lets pray to almighty haki itendeke accordingly
 
Wakamatwe tu na wafungwe, wanafanya biashara haramu kizembe zembe.
 
ikiwezekana sheria ichukue mkono wake nitafurahi sana, mungu jalia hilo . kwanini wanataka kuiangamiza dunia? unajua ninachukia sana inatakiwa wote tuwe na sheria kama za china ukikamatwa ni byebye nahisi kusingekuwa na uchafu huu tanzania , ila kwakuwa sheria zetu ndiyo hivyooo na rushwa kibao hali itakuwa mbaya sana , na wengine tutaponza na kufungiwa hata kusafiri. tunaweza kuwa magaidi wa mihadarati, mwisho watu hata wakisafiri itakuwa issue airport. siku siyo nyingi walikamatwa zimbabwe
 
Taarifa nilizozipata mda si mrefu kuna Watanzania wawili wamekwamatwa na madawa ya kulevya wakiingiza Korea ya Kusini ya kitokea Tanzania kwa Air Emirates katika uwanja wa Incheon Internatal Aiport -KOREA.
Source please!
 
ikiwezekana sheria ichukue mkono wake nitafurahi sana, mungu jalia hilo . kwanini wanataka kuiangamiza dunia? unajua ninachukia sana inatakiwa wote tuwe na sheria kama za china ukikamatwa ni byebye nahisi kusingekuwa na uchafu huu tanzania , ila kwakuwa sheria zetu ndiyo hivyooo na rushwa kibao hali itakuwa mbaya sana , na wengine tutaponza na kufungiwa hata kusafiri. tunaweza kuwa magaidi wa mihadarati, mwisho watu hata wakisafiri itakuwa issue airport. siku siyo nyingi walikamatwa zimbabwe

nakuunga mkono juu ya kutolewa adhabu kali kwa anayethibitika kuhusika lakini tunapojadiri mada hizi tusisahau pia haka katabia kalikozuka sasa ka kuegesheana madawa ya kulevya kwa nia ya kukomoana. Tuwe makini.....
 
tough question....walipitaje pale njia panda kuelekea huko korea? kikosi cha usalama cha viwanja vya ndege wana maswali ya kujibu!
 
Back
Top Bottom