Watanzaia tunapiga kazi singida hiyo

Watanzaia tunapiga kazi singida hiyo

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
783
Utakuta mtu analalama watz hatufanyi kazi hebu cheki hizi picha wakulima wa vitunguu singida
FB_IMG_15263218479900824.jpg
 
Wakazi wa Singida walikuwa wanategemea sana malori ya mizigo yanayotoka bandarini Dsm,hawa madereva wa malori walikuwa ndyo wanunuzi wakubwa wa vitunguu na mafuta ya alizeti...tangu bandarini kulivyodorora wengi wakaanza kutumia bandari ya Mombasa so na biashara za Singida zikakosa soko!
 
Back
Top Bottom