Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Toka lin kina ngosha wakajua kuwa smart mkuu iga mfano kwa mkuu wa nchi1. Kuvaa hamjui; Sijui ni asili ya eneo, Kituo chenu kilipo au ni Lack of Exposure . Hamna mfano wa mtangazaji mwnye presentation nzuri .
2. Mnahoji unlogical questions kwenye mmahojiano Sensintive. ( sijui ni kukosa utaalamu wa utangazaji ...huenda mnaajiriwa kindugu . )
3. Kwanini mnatangaza kama mnausingizi au HangOver, Ivi hamuoni Competition ilivyo kubwa, learn from Azam.
Sina Lengo baya,
Ni mtazamaji wenu take my Comments .
Sikiliza TV ya kichaggggaaaa ITV1. Kuvaa hamjui; Sijui ni asili ya eneo, Kituo chenu kilipo au ni Lack of Exposure . Hamna mfano wa mtangazaji mwnye presentation nzuri .
2. Mnahoji unlogical questions kwenye mmahojiano Sensintive. ( sijui ni kukosa utaalamu wa utangazaji ...huenda mnaajiriwa kindugu . )
3. Kwanini mnatangaza kama mnausingizi au HangOver, Ivi hamuoni Competition ilivyo kubwa, learn from Azam.
Sina Lengo baya,
Ni mtazamaji wenu take my Comments .
Tutasikiliza ITV mkuu, na kuangalia Radio one, una tatizo?Sikiliza TV ya kichaggggaaaa ITV
Yule dada nimemkubali ile interview yake na Museven.Watangazaji wa chanel za bongo watazame bbc swahili. Yule demu zuhura nani sijui. Huwa anauliza maswali bila uoga. Cheki interview aliofanya na lowassa au museveni juzi.
Huyu Jamaa ana chuki Za kikabila, Admin naomba mwondoe kwa siku7 ,Eti tv ya kichagaa ,wewe endelea tu,Hapa mfano umetolewa wa Azam wewe unaleta chuki kwenye taifa mama la TanzaniaTutasikiliza ITV mkuu, na kuangalia Radio one, una tatizo?
Diallo ni CCM mwenzetu,hamna shida ila sasa upendeleo apunguEZe,sijui lakini huenda anapata ruzuku kwa analolifanyaHawa si.ni ccm pure?
Ana chuki mpaka inamuondolea ufahamu wake.Huyu Jamaa ana chuki Za kikabila, Admin naomba mwondoe kwa siku7 ,Eti tv ya kichagaa ,wewe endelea tu,Hapa mfano umetolewa wa Azam wewe unaleta chuki kwenye taifa mama la Tanzania