Watangazaji wa kike wa RFA mnanichanganya

Bigboot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
310
Reaction score
77
Sijui ni mimi tu au kuna wengine pia? Yani hawa kina dada huwa nashindwa kuwatofautisha yan, sauti ni zilezile kabisa, sijui wanaigana au ni mimi ndo nashindwa kuwatofautisha, hasa hawa, Felister kulujila, Neema ndeto, Beatrice Rabachi, Mwaipungu. Glory Robinson ni rahisi kumtofautisha ila hao mpaka wataje majina kiukweli
 
Wengi wao wanatoka ukanda mmoja! hivyo ni shida kuwatofautisha hasa kimatamshi!
 
Sijui ni mimi tu au kuna wengine pia? Yani hawa kina dada huwa nashindwa kuwatofautisha yan, sauti ni zilezile kabisa, sijui wanaigana au ni mimi ndo nashindwa kuwatofautisha, hasa hawa, Felister kulujila, Neema ndeto, Beatrice Rabachi, Mwaipungu. Glory Robinson ni rahisi kumtofautisha ila hao mpaka wataje majina kiukweli

Mtoto wa mama Sabuni aliondoka mda RFA
 
Back
Top Bottom