Watangazaji wa Azam TV mjirekebishe

Watangazaji wa Azam TV mjirekebishe

Eti, mgambo wamenyimwa penaiti ya WAZI,... Kipa wa mgambo alifanyiwa faul ya WAZI ndio maana Msuva akafunga... TAHADHARI: watu wanawaamini kwamba kile mnachokisema (watangazaji) ndicho sahihi, hivyo mnasababisha mabishano ya mashabiki huku mitaani.

Da kama uliingalia hiyo mechi basi wewe si mwanamichezo kwa kuwashutumu hao watangazaji. Nimeangalia clips na nmegundua kuwa Yanga mlibebwa kwa mbereko ya chuma otherwise Yondan na Twite wangepokea straight RED CARDS. OVER.
 
nchi hii huwezi kuepuka Uyanga au U-simba.......ni urithi wa Taifa
 
Hata ile ya ivo mapunda alivyomvaa striker ile jumapili kwa kumpiga kiwiko, maana ilikuwa penalti lakin mkia alibebwa
 
Niambieni TV GANI TANZANIA NI CLASSIC KAMA AZAM?

Mwerevu katika vipofu ni yule mwenye jicho moja.

Kijana mmoja alifanya mtihani akapata wastani wa 20% akawa wa kwanza darasani kwake na watu wakampigia makofi wakiamini kuwa ana akili sana kwa kuwa wa kwanza; kumbe kwenye viwango vya NECTA alikuwa amefeli pia, hafai hata kwenda shule ya kata.

Niiliyoyatoa hapo juu ndiyo hayo unataka utuaminishe na hiyo Azamtv yako. I'm sorry to say shame on you Mkuu BBA; ubora haupimwi kwa kulinganisha na competitors bali kwa standards zinazokubalika.
 
Last edited by a moderator:

sijajua au kutokuelewa kwangu. can you compare something with nothing
 
Last edited by a moderator:
Eti, mgambo wamenyimwa penaiti ya WAZI,... Kipa wa mgambo alifanyiwa faul ya WAZI ndio maana Msuva akafunga... TAHADHARI: watu wanawaamini kwamba kile mnachokisema (watangazaji) ndicho sahihi, hivyo mnasababisha mabishano ya mashabiki huku mitaani.

Ni kweli kabisa yule Refa wa Yanga na Mgambo mechi ilimshinda kabisa.Ninakushauri unyamaze.
 
mbona ya kule kaitaba hamkusema kuwa kagara suger alibebwa!???
Au akili yako inakutuma kuwa timu kubwa haionewi!!!
 
Mwerevu katika vipofu ni yule mwenye jicho moja.

Kijana mmoja alifanya mtihani akapata wastani wa 20% akawa wa kwanza darasani kwake na watu wakampigia makofi wakiamini kuwa ana akili sana kwa kuwa wa kwanza; kumbe kwenye viwango vya NECTA alikuwa amefeli pia, hafai hata kwenda shule ya kata.

Niiliyoyatoa hapo juu ndiyo hayo unataka utuaminishe na hiyo Azamtv yako. I'm sorry to say shame on you Mkuu BBA; ubora haupimwi kwa kulinganisha na competitors bali kwa standards zinazokubalika.
kweli aisee.............
 
nchi hii huwezi kuepuka Uyanga au U-simba.......ni urithi wa Taifa

Akili kama hizi ndizo zinazodumaza soka, sisi tunasema ni urithi wa taifa wakati wenzetu wanautumia kupiga hela za viingilio ambazo sisi warithi tunachanga.

Tuamke!
 
Eti, mgambo wamenyimwa penaiti ya WAZI,... Kipa wa mgambo alifanyiwa faul ya WAZI ndio maana Msuva akafunga... TAHADHARI: watu wanawaamini kwamba kile mnachokisema (watangazaji) ndicho sahihi, hivyo mnasababisha mabishano ya mashabiki huku mitaani.

Jamani naomba simu ya yahya mohamed wa azam tv
 
Mwerevu katika vipofu ni yule mwenye jicho moja.

Kijana mmoja alifanya mtihani akapata wastani wa 20% akawa wa kwanza darasani kwake na watu wakampigia makofi wakiamini kuwa ana akili sana kwa kuwa wa kwanza; kumbe kwenye viwango vya NECTA alikuwa amefeli pia, hafai hata kwenda shule ya kata.

Niiliyoyatoa hapo juu ndiyo hayo unataka utuaminishe na hiyo Azamtv yako. I'm sorry to say shame on you Mkuu BBA; ubora haupimwi kwa kulinganisha na competitors bali kwa standards zinazokubalika.

Bila shaka ni standards zilizoshuka kutoka mbinguni.
 
Last edited by a moderator:
Da kama uliingalia hiyo mechi basi wewe si mwanamichezo kwa kuwashutumu hao watangazaji. Nimeangalia clips na nmegundua kuwa Yanga mlibebwa kwa mbereko ya chuma otherwise Yondan na Twite wangepokea straight RED CARDS. OVER.
mimi sikuangalia hiyo mechi nilisikiliza kupitia radio ila kama ni kadi nyekundu wachezaji wengi wa mgambo wangepewa refa aliwalinda aliona ataharibu mchezo
 
Kiukweli ile match ilimshnda refa. ila kiutangazaj pia kuna mtangazaji mmoja alikuwa anashndwa kubalance utangazaj wake kwa kuamini kabisa kwamba kila walichofanyiwa Yanga kilikuwa sahh ila kwa Mgambo uonevu..Mfano. Mchezaj wa yanga aliangushwa kwenye pbox ya Mgambo na ilikuwa ni adhabu..huyu mtangazaj alikaa kmya..na alipo angushwa wa Mgambo amboyo pia ingekua pnt aliishabkia xana. Huu ni unaz uliopitiliz ktk taaluma za utangazaj. Hata Mh. JUMA NKAM... alikuwa hvyo hvyo wakat huo Tbc kabla hajakamata tonge now.
 
Mzee Bakheresa ameanzisha kituo cha tv kizuri sana lakini hawana watangazaji sijui wanajipendekeza wakati mwenyewe hana mpango huo kama ni ugomvi ni uongozi wa yanga na azamtv nyinyi vikaragosi linawauma nini? ni bora angewachukua watangazaji wa dstv wa kenya
 
Eti, mgambo wamenyimwa penaiti ya WAZI,... Kipa wa mgambo alifanyiwa faul ya WAZI ndio maana Msuva akafunga... TAHADHARI: watu wanawaamini kwamba kile mnachokisema (watangazaji) ndicho sahihi, hivyo mnasababisha mabishano ya mashabiki huku mitaani.

Acha upumbavu,ni kweli kabisa huyo kipa alifanyiwa madhambi ya wazi,lile gori la Msuva ilikuwa siyo sahihi kabisa
 
Sina tabia ya kutukana lakini wewe nimekutukana, ......yako.. na uwaambie wenzako mjirekebishe.
 
Back
Top Bottom