Watangazaji wa Azam TV mjirekebishe

Watangazaji wa Azam TV mjirekebishe

Da kama uliingalia hiyo mechi basi wewe si mwanamichezo kwa kuwashutumu hao watangazaji. Nimeangalia clips na nmegundua kuwa Yanga mlibebwa kwa mbereko ya chuma otherwise Yondan na Twite wangepokea straight RED CARDS. OVER.

Hiyo ndiyo dini ya kweli
 
Eti, mgambo wamenyimwa penaiti ya WAZI,... Kipa wa mgambo alifanyiwa faul ya WAZI ndio maana Msuva akafunga... TAHADHARI: watu wanawaamini kwamba kile mnachokisema (watangazaji) ndicho sahihi, hivyo mnasababisha mabishano ya mashabiki huku mitaani.
hii tv inaelekea haina weledi. imeokotezaokoteza watangazaji ovyo ndio maana wana hoja ovyo ovyo kwenye kila fani. iwe siasa dini michezo comments zao za ovyo tu.
 
Back
Top Bottom