Watangazaji wa Azam TV mjirekebishe

Watangazaji wa Azam TV mjirekebishe

cnjona

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
1,027
Reaction score
239
Eti, mgambo wamenyimwa penaiti ya WAZI,... Kipa wa mgambo alifanyiwa faul ya WAZI ndio maana Msuva akafunga... TAHADHARI: watu wanawaamini kwamba kile mnachokisema (watangazaji) ndicho sahihi, hivyo mnasababisha mabishano ya mashabiki huku mitaani.
 
Yaani hii ni TV ni majanga matupu ndio maana sisi Yanga hatuitaki. Tangu waanze udhamini wao wa kijinga hatujawahi kuchukua hata senti tano.
 
yaani wanaingia mitamboni, huku wakitaka timu fulani ishinde.
 
Nyie nao vipi kwani mtangazaji hana haki ya kusema anachoamini???!! Kutoa maoni ni haki ya kila mdau...msiwe kama wale wanaosema Warioba akae kimya
 
wacha ukweli uitwe ukweli,Yanga mlibebwa.Watangazaji na wachambuzi hawajakosea hata kidogo.Hata ulaya huko ambako tunawaiga pundits huwa wanasema kama ilikuwa penatia au haikuwa au walistahili ama hawakustali,kama ilikuwa faulo ama haikuwa faulo n.k,mashabiki wa Yanga mna matatizo sana.
 
kama uliangalia ile mechi kumbuka msuva alifanyiwa faul ndani ya box na wachezaji wa yanga wakamlalamikia mwamuzi,mbona watangazaji hawakusema kuwa ni halali au sio halali?.na huko ulaya unakolinganisha, ukweli unasemwa kwa pande zote mbili sio upande mmoja, na hio ndio pointi yangu.
 
inawezekana hukuangalia mechi ndio maana umetumia neno "kama".ninachomaanisha ni kwamba watangazaji wa azamtv hawapaswi kuusema ukweli wa upande mmoja na kuuficha ukweli wa upande wa pili.

it's obvious yanga mna chuki na azam kwa ujumla wake! kwani mechi mliangalia peke yenu wanayanga?
 
Eti, mgambo wamenyimwa penaiti ya WAZI,... Kipa wa mgambo alifanyiwa faul ya WAZI ndio maana Msuva akafunga... TAHADHARI: watu wanawaamini kwamba kile mnachokisema (watangazaji) ndicho sahihi, hivyo mnasababisha mabishano ya mashabiki huku mitaani.

Wewe fatilia hata hao watangazaji wao wametoka wapi na uone kila mmoja ana mrengo gani, TV inaendeshwa kisela sela ... dingi msela ...mtoto msela ...watangazaji wasela...habari za kisela...
 
Ingekuwa Azam wanacheza na Mgambo hayo yasingesemwa. Bado tuna safari ndefu Bongo. Watangaze mpira lakini waepuke kuwa waamuzi. Hata kama marudio yataonyesha hivyo, wakumbuke kuwa mwamuzi hapati nafasi ya kuangalia marudio kabla ya kufanya uamuzi. Hayo kila weekend tunayaona EPL.
 
Eti, mgambo wamenyimwa penaiti ya WAZI,... Kipa wa mgambo alifanyiwa faul ya WAZI ndio maana Msuva akafunga... TAHADHARI: watu wanawaamini kwamba kile mnachokisema (watangazaji) ndicho sahihi, hivyo mnasababisha mabishano ya mashabiki huku mitaani.
Sio watangazaji tu hata uongozi wa azmtv nao ujirekebishe, wameiondoa chanel ya DTV na kuweka ZBC2, mbaya zaidi hiyo ZBC2 yenyewe wala haieleweki,,,,,,azamtv wameshaanza kukera hawa jamaaa,,,,,
 
kama uliangalia ile mechi kumbuka msuva alifanyiwa faul ndani ya box na wachezaji wa yanga wakamlalamikia mwamuzi,mbona watangazaji hawakusema kuwa ni halali au sio halali?.na huko ulaya unakolinganisha, ukweli unasemwa kwa pande zote mbili sio upande mmoja, na hio ndio pointi yangu.

kwahiyo unaamini walichosema kuwa ni chakweli ila tatizo tu waliegamia upande mmoja!! Basi ucjal mechi zijazo watajirekebisha.
 
it's obvious yanga mna chuki na azam kwa ujumla wake! kwani mechi mliangalia peke yenu wanayanga?

sijasema mpira uliangaliwa na wanayanga,fuatilia vizuri utaelewa ninamaanisha nini kwa watangazaji wa azamtv, kwamba wasiwe na upande kwa timu zote 14.
 
Wewe fatilia hata hao watangazaji wao wametoka wapi na uone kila mmoja ana mrengo gani, TV inaendeshwa kisela sela ... dingi msela ...mtoto msela ...watangazaji wasela...habari za kisela...

mahaba na wivu vikikutawala ni hatari sana! niliangalia jinsi iongozi wa yanga walivyokuwa wanahangaika kufukua uwanja wa kaitaba kutafuta hirizi zilizodaiwa kufukiwa na watu wa kagera sugar , daah nilichoka sana!
CC😡cnjona
 
Wewe fatilia hata hao watangazaji wao wametoka wapi na uone kila mmoja ana mrengo gani, TV inaendeshwa kisela sela ... dingi msela ...mtoto msela ...watangazaji wasela...habari za kisela...

Niambieni TV GANI TANZANIA NI CLASSIC KAMA AZAM?
 
Back
Top Bottom