Watangaza utalii wageuka watalii scandinavia

Kama ni kweli hebu mpelekee sms Mheshimiwa Rais. Ataifanyia kazi. Hana masihara mheshimiwa. Believe you me.
 
Hayo ni madogo tu, kwa ufupi BOdi ya Utalii( TTB) ni uozo mtupu kabisa hakuna kitu cha maana wanachokifanya hata kidogo, Wazee wanaoiongoza hawana lolote jipya wanachokifanya nikwenda kila nchi kwa kutumia pesa za walipakodi na kwneda kustarehetu,hili halina ubishi

Kwa maksudi mazima kabisa hawataki kuajiri vijana waliosoma UTALII, karibia wote waliopo pale hawana background ya utalii hata kidogo,Kilichopo pale ni majungu, fitna na visasitu, Ngugu Mwenguo output yake ni ZERO kabisa hakuna anachokifanya,ameshindwa kuunganisha kwautuzi TANAPA, NGORONGORO katika kufanya marketing kila mtu anakwenda kivyake,

Wanaoenda kutangaza utalii ukisikia Utalia kabisa kuna kipindi Mwenguo huyu huyu alishaendaga na dereva wake kutángaza vivutio vya Tanzania ulaya, ukiachilia mbali dereva hata kuna kipindi secretary na wao wanawekwa kwenye msafara, inasikitisha tena saana, wao kila kukicha wanalalamika hawana budget ya kutosha na kusingizia kulinganisha budget ya South africa na kenya wanayotumi kutangaza utalii wao, nachowauliza hata hicho mnachokiita kidogo mnachokipata mnakitumiaje????

Chakuzingatia,HII bodi (TTB) inatakiwa iundwe upya hawa wazee Mwenguo na genge lake kam wakina Macha, na wengine waondoke waajiriwe vijana ambao wana background ya utalii na wenye uchungu na utalii wa tanzania ili waweze kufanya kazi kwa maslahi ya taifa na sio kwa kuzingatia matumbo yao

Pili TANAPA;NGORONGORO;IDARA YA MISITU IDARAYA WANYAMA PORI na wadau wa utalii wawe na uwekilishi kwenye hii bodi

Tatu Wajumbe wa bodi kama za TANAPA TTB wasiwe wanaruhusiwa kwenda kwenye maonyesho ya utalii nje ya nchi8 wanaenda kutangaza nini wanchokijua??? utashangaa msafara wa tanzania utakuta wajumbe ttb,tanapa, ngorongoro wale wanaofanya kazi wanaojua vile vivutia hawapewi nafasi, Najiuliza hawa wazee wanendaga kufanya nini???wanatangaza vivutio vipi wanvyovijua???

Mwisho tuwe na uchungu na nchi yetu, sekta ya utalii ikisimamiwa vizuri inaweza kutoa ajira na kuchangia kwa kiasi kikubwa uchumi wa nchi achilia mbali multiplier effects kwa secta nyingine hususani kilimo
 
Ndugu yangu pole saana kama una ndoto hizo sahau kabisa kwani kama unatarajia kuomba kazi TTB au TANAPA, NI ngomu saana kuipata kwani kuna watu wamejijengea himaya huko na familia zao

unless una mtu wa..............? malizia
Kama ndo hivyo mambo yanaenda basi kazi tunayo....
 
WANA JF!

Hapa nchini Finland mjini Helsinki yapo maonesho ya kimataifa ya kutangaza utalii. Karibu nchi zote duniani zimeleta wawakilishi wa kutangaza vivutio vyao hapa ikiwa ni pamoja na jirani zetu wa Kenya.
Cha kushangaza kama kawaida ya Watanzania, jamaa waliotumwa kuiwakilisha nchi yetu katika maonesho haya ya siku saba, walikuwa kwenye banda lao kwa siku moja na nusu tu. Baada ya hapo jamaa wamepanda boti na ninavyo tuma taarifa hii wapo nchini Sweden watumbua kwa raha zao. Cha ajabu Rais wa nchi ya Finland amepita kuangalia na kujionea shughuli katika maonesho haya na alipo fika banda la Tanzania alishangaa kuona analazimika kujiokotea mwenyewe vipeperushi bila kuona wataalam wa utalii Tanzania ili kupata maelezo ya kina kuhusu vivutio vyetu. Vile vile watu wengi hapa wameonyesha nia ya kutembelea Tanzania kwani walikuwa wamejazana kwenye banda na kushangaa kuona halia watu wa kuwapa maelezo.

Wana jamvi hii imekaa je??????

shame shame on us!!! tupo malimbukeni limbukeni tu!!! si wangemaliza basi kilichowapeleka ndo waendelee na mabo mengine!!! hawana uchungu na pesa zetu!! kiukweli PAYE inaniuma sana, mwisho wa mwezi nikiangalia kiasi ninachokatwa kwa ajili ya ppf na paye the difference makes me sick jamani!!! and this is how they misuse jasho letu!!!

mkuu ungeokoa jahazi japo kwa dakika chache ulizokuwepo!!!
 
Hahahaaa!! MBONA RAIS NA YEYE ALI STAREHE KWENYE BEMBEA ??? Hayo ma meli yanayozunguka usiku mzima yana starehe kabisa kabisa..!! Hata ingekuwa mimi nadhani ningetupilia mbali vipeperushi uchwara na kuingia Casino za kwenye Boat kula raha ndani ya BIRKA CRUISER. Usinikumbushe huko Scandinavia mkuu..! Fedha zenyewe ziletwazo na watalii wakina Zakia wamezibandua vya kutosha. Tanzania ni nchi ya UKIPATA NAFASI PIGA..!!!
 
Kaka unatakiwa kuwa mzalendo angalau katika kiwango cha mawazo, zile ni kodi zetu ambazo zinatakiwa zitumike kwa mujibu wa taratibu na kanuni za kazi kama walivyoelekezwa wakati wanaondoka kwa safari hiyo. Kama kila mtu atakuwa anapiga akipata nafasi wanao tutawaachia nini nchi hii?
 
Ukipata Jibu la swali lako toka kwa Rais wetu basi utakuwa umepata jibu la nini tutawaachia wenetu mkuu..!!
 
WANA JF!

Hapa nchini Finland mjini Helsinki yapo maonesho ya kimataifa ya kutangaza utalii. Karibu nchi zote duniani zimeleta wawakilishi wa kutangaza vivutio vyao hapa ikiwa ni pamoja na jirani zetu wa Kenya.
Cha kushangaza kama kawaida ya Watanzania, jamaa waliotumwa kuiwakilisha nchi yetu katika maonesho haya ya siku saba, walikuwa kwenye banda lao kwa siku moja na nusu tu. Baada ya hapo jamaa wamepanda boti na ninavyo tuma taarifa hii wapo nchini Sweden watumbua kwa raha zao. Cha ajabu Rais wa nchi ya Finland amepita kuangalia na kujionea shughuli katika maonesho haya na alipo fika banda la Tanzania alishangaa kuona analazimika kujiokotea mwenyewe vipeperushi bila kuona wataalam wa utalii Tanzania ili kupata maelezo ya kina kuhusu vivutio vyetu. Vile vile watu wengi hapa wameonyesha nia ya kutembelea Tanzania kwani walikuwa wamejazana kwenye banda na kushangaa kuona halia watu wa kuwapa maelezo.

Wana jamvi hii imekaa je??????

Labda walitumwa Sweden hapo ilikuwa kupita tu!

Amandla......
 
Kama ni kweli hebu mpelekee sms Mheshimiwa Rais. Ataifanyia kazi. Hana masihara mheshimiwa. Believe you me.

nadhani si kila jambo lazima liende kwa rais... tusiharibu ile institution kisa tunamjua, tuna idara na vitengo vinavyosimamia utumishi na codes of conducts/ethics

tusipoangalia hata ugomvi na wake zetu tutatuma sms kwa mkulu
 
tatizo ni kwamba, mwizi kawatuma wezi kutoa maoni juu ya uizi, hivo hata akipokea ripoti yao ye hana shida kwani anajua jibu litakalorudi
 
kuna mambo mengine yanatendeka yanatia kichefuchefu kabisa, hali ndo hivyo kwa taarifa yako ukibahataika ukaingia utaundiwa visa mpaka ukimbie mwenyewe
Mkuu nimeogopeshwa sana na hizi habari, sasa haka kaujuzi kangu nikipata napenda sana nije kukatumia hapo nyumbani kwa faida ya jamii nzima.........pls naomba ushauri wako nini cha kufanya ili kuepuka yote hayo....
 
Je ni vipi tunaweza kupata majina ya wahusika na idara walizotoka?
 
Hao ndiyo wabongo haswa.

Wakirudi Tanzania utashangaa wanapewa promosheni, kwani huenda katika ile posho yao kulikuwa na shea fulani ya bosi; kwa hiyo hawana wasiwasi kabisa.

Hebu unaweza kutuambia banda la wenzetu waKenya lilikuwa katika hali gani? najua kuwa wako serious sana katika hiyo sekta ya utalii.

HESHIMA MBELE NA MASLAHI YA WATANZANIA MBELE.

Mkuu Kichuguu!

Habari ya banda la wenzetu Kenya ilikuwa ni balaa. Jamaa walikuja wakiwa wamekamilika na kwamba wanaujuwa wajibu na kazi iliyowapeleka Finland. Banda lilikuwa linawakilisha kila kivutio kilichopo nchini Kenya. licha ya vivutio vya Kenya, pia walikuwa na poster kubwa " A LAND WITH SO MUCH TO OFFER" DISCOVER THE MAGIC OF AFRICA "VIEW KILIMANJARO THROUGH KENYA". Na mambo mengi mno kiasi kwamba nilijisikia kufa. Niliona kila kilichokuwa kizuri ndani ya lile banda kilikuwa ni cha kwetu.

Kilichotaka kiniua ni pale nilipoona jamaa wamekuja na wataalam wa kuuza safari. Watu walikuwa wananunua "FULL TOUR PACKAGES", tayari kwa kusafiri kwenda Kenya kipindi cha summer. Mfano walikuwa wame-organize na AURINKO MATKAT ambao hawa ni travel operator ili kuuza full packages.

Nilishindwa kuamini kile nilikuwa nakiona wenzetu wanakifanya sisi ndio kwanza tumekimbilia boat na kuacha kabisa kile kilichotupeleka.

Je, huko TTB na kwingineko hakuna wataalam wa utalii na masoko jamaniiiiiiiie??????????? Hivi aliyetuloga amekwisha kufa nini? Inauma mno.

Wana JF tusaidiane katika hili jamani!!! Nadhani si wakati mwafaka wa kufumbia macho mambo kama haya.

Nawasilisha.
 
Hwakawii kukwambia kwamba walienda kuchukua ujuzi kwenye field kwa kufanya practical ya utalii na kuona wenzao wanavyohudumia utalii, huku banda halina hata mkaribishaji.

That is very un-Tanzanian, sehemu inakosa mwenyeji hata wa kukaribisha katika maonyesho, is this the spirit?
 
Tatizo waliotumwa kwenye maonyesho hayo hawana sifa za kutangaza utalii, wamepewa ticket na posho bila kujua nini wanakwenda kufanya.

Mikakati ingeanzia hapa nyumbani then mtu akitoka nje ya nchi anajua nini anafanya.

Tusiwalaumu hao watu walioamua kutalii wenyewe. Shida inatokana na uongozi mzima katika nchi, ndiyo maana China waliamua kuwapiga risasi watu wanaofanya mchezo na maslahi ya wananchi na nchi yao.

Utu wa Mtanzania upo wapi?
Uzalendo wa Mtanzania upo wapi?
Heshima ya Mtanzania itatoka wapi?

Mungu ibariki Tanzania. Itafika wakati tutautangaza utalii Tanzania kama nchi yenye uongozi mfu kupita mfano, kama Kibera (Kenya) ilivyokuwa kivutio cha utalii. That's mean Kibera should be maintained.

Kwa maana hiyo Umbumbu, ujinga na upumbavu wa Watanzania uendelee kudumishwa, huenda tutatajirika kupitia hali
hiyo maana mataifa mengine yanabidi yaje yaone jinsi ambavyo hatushughuliki kuukana umaskini. (ni kivutio tosha kwa karne zijazo)

Mnisamehe kwa kauli hii, ila nimeumia sana roho na taarifa ya hao mabwana huko Finland
. Pengine hata lugha hayajui ndiyo maana yamekimbia banda.

HEBU wapeni Ze Komedi kituko hiki watengeneze pesa.

Na hawa je, mbona nao wameuga watali badala ya waongoza watalii?
\

Local porters take Chelsea team’s invitation next

MARC NKWAME in Arusha, 26th January 2010 @ 11:00, Total Comments: 0, Hits: 73

LOCAL Mountain porters and tour guides who got invited to UK by the owner of Chelsea FC, billionaire Roman Abramovich last year, may fly to London in March this year.

Abramovich, the Russian billionaire sent an invitation to porters working at the Mount Kilimanjaro gate as well as guides who attended him during his Tanzanian trip last August, to tour the United Kingdom.

However, a group of ten potters could not make the trip as earlier scheduled, because reliable reports said there have been some problems with acquiring passports for some of the guides.

The problem has since been solved and the porters will now be flying to UK in late March.

“Their host, Abramovich had to reschedule the porters’ itinerary after they failed to make it to the UK late last year and now we hope to have them there between the end of March and early April this year,”

said Richard Beaty, the Director of African Environments Ltd, a tour company which handled the billionaire’s expedition to Kilimanjaro last August.

“Abramovich, their host wants them to watch live Chelsea matches and some will be coming up between March and April,” explained Beaty. Asked whether the porters and guides were football fans he seemed amused.

“Really, is there anybody in this country who is not a soccer fan? The question should be whether they support Chelsea,” he said.

While in UK, the guides and porters were supposed to enjoy the opportunity to watch a game between Chelsea and Apoel FC on December 8 and also Chelsea v Everton on December 12 last year an itinerary which got shelved after the group failed to make it to UK on time.

"Chelsea Football Club is writing to ask for your assistance in issuing UK visas for a group of Tanzanian nationals to visit the United Kingdom," that was an official letter from Eugene Tenenbaum, Director of Chelsea FC dated October 23, 2009. It was sent to the British High Commission in (Dar es Salaam) Tanzania

"They are planning to stay in London from 6th to 13th December 2009. Chelsea FC will pay for the flights and accommodation for the listed persons as well as provide a chaperone for them for the whole duration of their stay," Tenenbaum’s letter added.

Those listed in the letter as invitees were, Alexander Lemunge Shayo, Adamson Eliyahu Mollel, Godfrey Obedi Njamakuya, Isaack Simon Kitindi and Jane Alexander Lemunge.

Others in the list were Noel Eliyamin Mbwambo, Christopher Omollo Agger, Humphrey Jumbe, Manyamali Nnko and Silvery Herman Muhindi.

Alexander Lemunge, is the Director of East African Voyages Ltd, which specializes on Kilimanjaro climbs. The firm together with African Environments Ltd handled Abramovich itinerary here.

Lemunge, coincidentally happens to be a staunch supporter of Chelsea, so for him the invitation was ‘from heaven.’ Lemunge, a global trotting Trip Leader, said the invitation was a golden opportunity to mountain guides and porters who have never travelled outside Tanzania.

"They have worked on the 5,895 meter high Kilimanjaro. Suddenly come Abramovich and turned them into tourists with other people guiding them on the London tour."

Humphrey Nnko, Logistics Guide at African Environments Ltd., is in fact a fan of Arsenal Football Club.

"I think Abramovich is a great man. I am a fan of Arsenal FC but that did not stop him from inviting me as one of his VIP guests. I have never been outside Tanzania. Abramovich has suddenly changed my life forever."
 
[/COLOR]

HESHIMA MBELE NA MASLAHI YA WATANZANIA MBELE.

Mkuu Kichuguu!

Habari ya banda la wenzetu Kenya ilikuwa ni balaa. Jamaa walikuja wakiwa wamekamilika na kwamba wanaujuwa wajibu na kazi iliyowapeleka Finland. Banda lilikuwa linawakilisha kila kivutio kilichopo nchini Kenya. licha ya vivutio vya Kenya, pia walikuwa na poster kubwa " A LAND WITH SO MUCH TO OFFER" DISCOVER THE MAGIC OF AFRICA "VIEW KILIMANJARO THROUGH KENYA". Na mambo mengi mno kiasi kwamba nilijisikia kufa. Niliona kila kilichokuwa kizuri ndani ya lile banda kilikuwa ni cha kwetu.

Kilichotaka kiniua ni pale nilipoona jamaa wamekuja na wataalam wa kuuza safari. Watu walikuwa wananunua "FULL TOUR PACKAGES", tayari kwa kusafiri kwenda Kenya kipindi cha summer. Mfano walikuwa wame-organize na AURINKO MATKAT ambao hawa ni travel operator ili kuuza full packages.

Nilishindwa kuamini kile nilikuwa nakiona wenzetu wanakifanya sisi ndio kwanza tumekimbilia boat na kuacha kabisa kile kilichotupeleka.

Je, huko TTB na kwingineko hakuna wataalam wa utalii na masoko jamaniiiiiiiie??????????? Hivi aliyetuloga amekwisha kufa nini? Inauma mno.

Wana JF tusaidiane katika hili jamani!!! Nadhani si wakati mwafaka wa kufumbia macho mambo kama haya.

Nawasilisha.

TTB ni genge la mafisadi wachache ni wazee tu na hata ukiwaambia nini wanachokifanya hawajui na ilikuendelea kuwepo wanahonga tu wanasiasa ili wawatetee.Hao wazee hawataki kabisa vijana waliobobea kwenye utalii na wachache waliopo hizo safari hawapewi kabisa, kila kukicha ni wale wale tu ndo utasikia marekani ulaya , kila safari anaenda mkurugenzi mkuu na wateule wake wachache pamoja na wazee wa bodi
 
Back
Top Bottom