britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 18,027
- 46,319
Tanganyika na Zanzibar wanacheza huko. Lakini kwenye screen wameandika Zanzibar na Tanzania bara. Sijui ni kwa nini wasiandike tuu Tanzania bara Vs Tanzania visiwani
Koloni letu hilo, siku walipopata nafasi ya kuwa mwanachama wa CAF nilishangaa sana lakini serikali iko makini ikacheza bonge la faulo Kudos Tanzania government
Hiyo sio sawa. Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hivyo wangeandika "TANGANYIKA" versus "ZANZIBAR".Tanganyika na Zanzibar wanacheza huko. Lkn kwenye screen wameandika Zanzibar na Tanzania bara. Sijui ni kwa nn wasiandike tuu Tanzania bara Vs Tanzania visiwani
Una uhakika Zanzibar ni mwanachama wa CAF?Sasa mbona bado ni wanachama wa CAF!
Mzee unachanganya kati ya fifa na cafUna uhakika Zanzibar ni mwanachama wa CAF?
Zanzibar ana uanachama wa kupeleka vilabu tu sio national team
Naona Neno Tanganyika halipendwi kabisa na hata na Watanganyika wenyewe.Hiyo sio sawa. Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hivyo wangeandika "TANGANYIKA" versus "ZANZIBAR".
😝😝😝😝 nimecheka kama mwehu, hivi unafatiliaga michezo kweli?Mzee unachanganya kati ya fifa na caf
Zanzibar ndio tatizo..kwa nini wasitumie jina lao la Tanzania visiwani? Mbona Tanzania bara hawatumii Tanganyika na hakuna tatizo lolote....Tanganyika na Zanzibar wanacheza huko. Lakini kwenye screen wameandika Zanzibar na Tanzania bara. Sijui ni kwa nini wasiandike tuu Tanzania bara Vs Tanzania visiwani
Naona Neno Tanganyika halipendwi kabisa na hata na Watanganyika wenyewe.
Sielewi ni kwanini
Zip features za failed State?TZ Ni Failed State.
Hakuna Uelekeo, Bora Kumekucha.
Hakuna uelekeo.
Hata ww umezingua ni Zanzibar vs Tanganyika hakuna nchi inaitwa Tanzania bara
Sent using Jamii Forums mobile app
Namshukuru Mungu kwa kuwa na msimamo usioyumba juu ya huu muungano wa changu changu, chako changu. Ipo siku tu Mwenyezi Mungu ataturejeshea Tanganyika mikononi mwetu Watanganyika, na Wazanzibari kubakia na Zanzibar yao.Ifikie wakati Zanzibar ipewe tu mamlaka yake kamili na hivyo kuwa nchi inayojitegemea. Huu Muungano umekaa kinafiki sana.
Yaani wana serikali yao, wimbo wao wa Taifa, bunge lao, Ikulu yao, Rais wao, Mamlaka zao za kiutendaji, nk! halafu wakati huo huo wako chini ya usimamizi wa serikali ya Tanganyika.