III II II II II
New Member
- Oct 16, 2021
- 3
- 103
Wengi ni WAYAO, wanyamwezi, watu wa Mtwara, Lindi, morogoro na Tanga no. Tuendelee kuvumiliana tuna asilimia kubwa ya wanzibar ni masalia ya watumwa waliotoka bara
Mzanzibar ni mzanzibar na Mtanganyika ni Mtanganyika hilo halifutiki mpaka dunia hii itaondokaNaam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi!
Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika
Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio wazanzibari orijino.
Asili ya neno Zanzibar ni maneno mawili ya kiarabu. "Zanj" ikimaanisha 'watu weusi' na "Bar" ikimaanisha 'nchi kavu'. Neno la kiarabu 'bar' ndiyo asili ya neno la kiswahili "bara". Kwahiyo maana ya neno "Zanzibar" ni 'nchi ya watu weusi'.
Nakubali kwamba hapa visiwani wapo watu weusi lakini ukifanya utafiti vizuri utagundua wakazi wengi wa Zanzibar wana asili ya nchi za kiarabu kama Oman, Uajemi na baadhi wana asili ya India huku wachache zaidi wakiwa na asili ya Ulaya.
Majengo pembezoni mwa fukwe za Bahari ya Hindi kisiwani Unguja
Hili si jambo la kushangaza kwa sababu historia inaonesha kumekuwa na mwingiliano mkubwa sana kati ya wazanzibari asilia na watu wa Asia kwa karne nyingi hapo nyuma, jambo lililochochewa zaidi na biashara haramu ya Utumwa na Utawala batili wa kisultani uliokalia visiwa hivyo kimabavu kwa zaidi ya miaka 100.
Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya kwa miaka michache niliyowahi kukaa hapa Unguja nimegundua kuwa hata wale wazanzibari wanaoonekana kufanana zaidi na watu wa bara, ukifuatilia vizuri utakuta wao pia wana damu za kiarabu au kiajemi, jambo linaloashiria uwepo wa mwingiliano wa kindugu baina yao na waasia wenyewe au machotara wa kiasia hapo zamani.
Iko wazi kwamba, hata bara kuna watu wengi wenye asili za Mashariki ya kati, Mashariki ya mbali, na wengine Ulaya lakini hilo halibatilishi ukweli kwamba watu wa aina hiyo ni wachache ukioanisha idadi yao na ya wale ambao asili zao zinatokana na jamii mbalimbali za hapa hapa barani Afrika.
View attachment 2973737
Mlima Tarime mkoani Mara ukionekana kwa mbali
Kwa muktadha huo nachelea kuhitimisha kwamba Watanganyika ndio Wazanzibari halisi. Neno Zanzibar linaleta mantiki zaidi likitumika kuwaelezea watu wa bara kuliko wa hapa kisiwani.
Sisemi kwamba kuanzia leo watu wa bara tuitwe Wazanzibari lakini najaribu tu kuwafungua macho baadhi ya Waunguja na Wapemba ambao wakisikia neno Zanzibar wanajawa na hisia za kibinafsi za utaifa wa Zanzibar kiasi cha kujihisi wao ni tofauti na sisi wakati kiuhalisia neno Zanzibar linaweza kutumika kama utambulisho wa Watanganyika, na Waafrika weusi kwa ujumla.
Bendera ya Zanzibar ndani ya Muungano
Nimewahi kuishi Zanzibar kwa miaka 4 wakati bado najitafuta, kabla ya kuamua kurudi nyumbani Tarime lakini katika kuadhimisha miaka 60 ya Muungano, mwezi huu wa nne niliona nije kujivinjari hapa kisiwani Unguja na nikutane na baadhi ya rafiki zangu baada ya kutenganishwa na umbali kwa muda mrefu kidogo sasa.
As long as I'm still alive, Tanzania must one day become one country for real. I see no point of Union if one part of the Union consider itself as a separate state!!
View attachment 2973748
Bendera ya Jamhuri ya Watu wa Tanzania ikipepea kwenye mlingoti
Nimesema Jamhuri ya Watu wa Tanzania kwa makusudi kabisa.
Happy 60th Union Anniversary 🎉
Il| Il |I l| Il
Wapo wengi Karume, Hasanni Moyo, brigedia MwakanjukiKuna kitabu nilisoma ila sikumbuki jina... Kile kitabu kinaonyesha mmoja ya viongozi wakubwa wa Zanzibar asili yake ni mnyasa wa RUVUMA huko. Nikaishia hapohapo, tuendelee kuvumiliana tu
Umemtaja hapoWapo wengi Karume, Hasanni Moyo, brigedia Mwakanjuki
Hao wazee wa kioman wakapande miti huko kwao, watuachie Zanzibar yetuZanzibar, asili Zanji = black, na Bar = land, ilikusudiwa ardhi yenye miti mingi ya kijani kibichi. Not necessarily rangi ya wakaazi wake.
Wapo wazee wa Kiomani hadi leo wanaita Zanzibar "jaziiratul khadhraa" (جزيرة الخضراء) which translate into "Green Island".
DIni ya waarabu na utumwa wa kifikra vimewaharibu akili hawa waarabu koko na kujiona nsio sehemu ya waafirka hasa tangayika,shenziNaam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi!
Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika
Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio wazanzibari orijino.
Asili ya neno Zanzibar ni maneno mawili ya kiarabu. "Zanj" ikimaanisha 'watu weusi' na "Bar" ikimaanisha 'nchi kavu'. Neno la kiarabu 'bar' ndiyo asili ya neno la kiswahili "bara". Kwahiyo maana ya neno "Zanzibar" ni 'nchi ya watu weusi'.
Nakubali kwamba hapa visiwani wapo watu weusi lakini ukifanya utafiti vizuri utagundua wakazi wengi wa Zanzibar wana asili ya nchi za kiarabu kama Oman, Uajemi na baadhi wana asili ya India huku wachache zaidi wakiwa na asili ya Ulaya.
Majengo pembezoni mwa fukwe za Bahari ya Hindi kisiwani Unguja
Hili si jambo la kushangaza kwa sababu historia inaonesha kumekuwa na mwingiliano mkubwa sana kati ya wazanzibari asilia na watu wa Asia kwa karne nyingi hapo nyuma, jambo lililochochewa zaidi na biashara haramu ya Utumwa na Utawala batili wa kisultani uliokalia visiwa hivyo kimabavu kwa zaidi ya miaka 100.
Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya kwa miaka michache niliyowahi kukaa hapa Unguja nimegundua kuwa hata wale wazanzibari wanaoonekana kufanana zaidi na watu wa bara, ukifuatilia vizuri utakuta wao pia wana damu za kiarabu au kiajemi, jambo linaloashiria uwepo wa mwingiliano wa kindugu baina yao na waasia wenyewe au machotara wa kiasia hapo zamani.
Iko wazi kwamba, hata bara kuna watu wengi wenye asili za Mashariki ya kati, Mashariki ya mbali, na wengine Ulaya lakini hilo halibatilishi ukweli kwamba watu wa aina hiyo ni wachache ukioanisha idadi yao na ya wale ambao asili zao zinatokana na jamii mbalimbali za hapa hapa barani Afrika.
View attachment 2973737
Mlima Tarime mkoani Mara ukionekana kwa mbali
Kwa muktadha huo nachelea kuhitimisha kwamba Watanganyika ndio Wazanzibari halisi. Neno Zanzibar linaleta mantiki zaidi likitumika kuwaelezea watu wa bara kuliko wa hapa kisiwani.
Sisemi kwamba kuanzia leo watu wa bara tuitwe Wazanzibari lakini najaribu tu kuwafungua macho baadhi ya Waunguja na Wapemba ambao wakisikia neno Zanzibar wanajawa na hisia za kibinafsi za utaifa wa Zanzibar kiasi cha kujihisi wao ni tofauti na sisi wakati kiuhalisia neno Zanzibar linaweza kutumika kama utambulisho wa Watanganyika, na Waafrika weusi kwa ujumla.
Bendera ya Zanzibar ndani ya Muungano
Nimewahi kuishi Zanzibar kwa miaka 4 wakati bado najitafuta, kabla ya kuamua kurudi nyumbani Tarime lakini katika kuadhimisha miaka 60 ya Muungano, mwezi huu wa nne niliona nije kujivinjari hapa kisiwani Unguja na nikutane na baadhi ya rafiki zangu baada ya kutenganishwa na umbali kwa muda mrefu kidogo sasa.
As long as I'm still alive, Tanzania must one day become one country for real. I see no point of Union if one part of the Union consider itself as a separate state!!
View attachment 2973748
Bendera ya Jamhuri ya Watu wa Tanzania ikipepea kwenye mlingoti
Nimesema Jamhuri ya Watu wa Tanzania kwa makusudi kabisa.
Happy 60th Union Anniversary 🎉
Il| Il |I l| Il
Tunaweza kudhani Zanzibar ni yetu... hiyo haizuii na wao kudhani ni yao.. ndio maana kina Barwan walisema "we will return"Hao wazee wa kioman wakapande miti huko kwao, watuachie Zanzibar yetu
Ndo maana Zanzibar hatuwezi tukaiacha ikapumua hata kwa dakika 1.Tunaweza kudhani Zanzibar ni yetu... hiyo haizuii na wao kudhani ni yao.. ndio maana kina Barwan walisema "we will return"
Once upon a time, - between 1698 to 1856- Zanzibar was a capital city of the Oman Empire. And that was a plenty of time to call somewhere your own home.