Watanganyika mnatuharibia Zanzibar

Hawa Wandengereko waliovuka bahari wengine wana shida sana.

Mzanzibari anayejitambua atajua hawezi kuepuka ukweli kwamba nasaba yake na Tanganyika ni ya damu.
 
Ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi, Haya mtumbatu wee waambieni hao wamachinga warudi kisha bebeni vimgahawa, daladala, tax, pakieni kwenye majahazi mrudishe kwenu mkacheze zumna.
 
Kwa taarifa yako, Zanzibar ndo inahitaji zaidi Tanganyika. Mi mwenyewe niko huku Zanzibar, hakuna production kabisa.Watu wazima wanashinda vijiweni huku mnaita "maskani" asubuhi hadi jioni.Mishahara yetu kwenye taasis za Muungano na wale wazanzibar waloajiliwa na TANGANYIKA ndo inasaidia mzunguko kiduchu wa pesa bila hivyo wazanzibar mtakula nyasi
 
je wewe ni mzanzibar na kama ni mzanzibar unatoka wapi hebu nieleze
 
Hawa Wandengereko waliovuka bahari wengine wana shida sana.

Mzanzibari anayejitambua atajua hawezi kuepuka ukweli kwamba nasaba yake na Tanganyika ni ya damu.
nasaba kubwa ya karume na nyerere juu ya muungano, wapo wenye nasaba ila sio wote Kiranga
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi, Haya mtumbatu wee waambieni hao wamachinga warudi kisha bebeni vimgahawa, daladala, tax, pakieni kwenye majahazi mrudishe kwenu mkacheze zumna.
tumbatu ni ndogo sana sijui ata kama izo gari ziko, yhakika sina
 
wajua kama pato wanalochangia zanzibar kwenye muungano ni kubwa kuliko wanalolipata?
 
nyie ndio mnaongoza kutuharibia kwa kuleta vizazi vya watu wasio na akili wenye IQ ndogo, mnakuja uku mnaintermarry mnaendeleza vizazi vya watu wasio na akili hadi sasa tunahesabiwa ktk nchi za watu wenye akili kidogo large part ni kwa ajili yenu!!! what kind of chimps are u? hamna akili kabisa sijui mlievolve kutoka kwa nyani wa jamii ipi!!! mtu anapata sifuri masomo yote kwenye mtihani how do you explain yourself u people???
 
wewe ulie leta hii post sijui ulikiwa unafikiria nini. sasa tukiamua kutimuana patakalika kweli. kabla huja post kitu uwe unafikiria mara mbili mbili
 
kuna mwaka wowote ambao zanzibar imewahi kutoa skuli ya mwisho?
 
wewe ulie leta hii post sijui ulikiwa unafikiria nini. sasa tukiamua kutimuana patakalika kweli. kabla huja post kitu uwe unafikiria mara mbili mbili
pasikalike kwa nini? hebu soma maelezo ao wanaotakiwa kutimuliwa ni nani? wasiokazi ndugu
 
Hahaha daa jf kuna vituko sana! Naona wabara na wazenji mnapambana.
 
Nabonyeza kizenji bonyeeeeeeeeeeee haaaa lazima mkae Zanzibar under Tanganyika supremacy lazima muombe poooo
 
Hiv kwanini wazanzibar wengi ni legelege?ingawaje ni imara mdomoni?
 
Sasa na sisi tukisema tuwafukuze wazanzibari mtaenda wapi coz mmejaa huku... umeme wenyewe mnategemea wetu.. tukiwakatia si mtakufa huko... usiombe Tanganyika itengane na Zanzibar coz mtapata shida
 
Na nyihe hatuwatak kwetu uku mmejaza migahawa utazan mnakarama ya ubaba ntilie... Vtoto vyenu vnuka mkojo no viiizi sn vya waume was watu japo vmefunka vchwaaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…