Watanganyika mnatuharibia Zanzibar

Wa Zanzibar wabaguzi sana.Dhambi hiyo itawatafuna sana.Hatuna shida na muungano. Xwkjhbdhk
umebaguliwa wapi, mwizi anafungwa jela mimi nimekutetea urudishwe kwenu ndo nimekubagua?
 
acha kutunga watanganyika wengi hawatakiwi na wanawake kutoka zanzibar, uko bara na sisi tumepita mademu wanatukubali lakini nyinyi ni nadra sana kukubalika na wanawake kutoka zenj

Hivi kwa akili yako mtwana anaweza kupendwa na bwana wake!??

Kihistoria wazanzibar ni watwana(watumwa) ,na kazi yao kubwa ni "kuwahudumia" mabwana zao!

Ni bahati iliyoje kuwa kazi yenu mnaifanya vyema!Kwa muda mrefu mmekuwa mkiwadumia waarabu sasa ni zamu yetu sisi watanganyika kutuhudumia!!
 
Hawa wazanzibar wabinafsi alafu wanahisi kama sie tunashida sana na huo muungano kuliko wao..mwenyewe sioni wa faida gani siwapendi kama nini.yapo mengi yamejazana bara yana njaa kama nini..midomo mirefu tuu ya kuongea kama chiriku ndo wamejaaliwa
hamna mzanzibar anaekuja dar es salaam ukamkuta anazagaa tu njiani
 
umekuuma ukweli sio, haijaalishi ni ngozi aina gani tunaongea tabia, halafu ni vizuri umekuja ntakuuliza, hivi watu8 hawa machinga mbona wadogo hakuna shule za kuwasomesha uko? hawana wazazi uko? inakuwaje mtu anamuacha mwanawe aje kufanya wizi huku?

Kwani wale wapemba na waunguja wanaouza juisi za miwa Ilala, Kariakoo mbona wanaonekana watu wazima, hivi hawajaenda shule wale?

Halafu na hawa machoko wa Kizenji wanaozurura Migomigo huwa hamuwasugui vizuri huko hadi waja huku Bara kutafuta mabasha wa kuwabong'oa...??
 
Acha ubaguzi wewe, juzijuzi tu tulionyeshwa list ya wadau wakubwa wa madawa ya kulevya, wazenj kibao wamo!!
kha wewe waongea pumba, wazanzibar wanaokwebda nje ya nchi ni kwa kusoma, acha zako
 
nyinyi wenyenu mwaona mali kupata mtoto wa kizenji, mnaharibu watoto wa mombasa mnasema wazenji lol, imekula kwako, mimi ninavojua kariakoo wapo wapemba ila wanafanya biashara na sio wanazurura tu kama wanavozurura huku
 
Nadhani asili ya wazanzibari ni Tanganyika... Mtoke wote huko Muwaache Waarabu
 

Mkuu Nitajie jina la Ukoo wako nikuambie wewe asili yako wapi na sio kujidai dai tu Zenji ni Kwenu.... Karume alikuwa ni Mutu ya Malawi, Mwinyi Kisarawe... hao viongozi wenu ni mifano tu... Jussa kwao India muhahahaha
 
Mkuu Nitajie jina la Ukoo wako nikuambie wewe asili yako wapi na sio kujidai dai tu Zenji ni Kwenu.... Karume alikuwa ni Mutu ya Malawi, Mwinyi Kisarawe... hao viongozi wenu ni mifano tu... Jussa kwao India muhahahaha
wewe wataka nini, kwani marekani ni asili ya wakenya, mbona obama ni raisi wa pale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…