mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,495
Kusema ukweli watu kutoka bara ndio mnaotuharibia Zanzibar, mnakuja Zanzibar na maadili yenu machafu mkifika hapa mnatuharibia watoto wetu. Mimi mnaniudhi kweli kwani hamuwezi kujiheshimu.
Unamkuta mwanamke wa kibongo amevaa nguo matiti yote yako nje na nyuma anatikisika kama mkia wa samaki kiasi ambacho hata kutembea na motto wako unashindwa.
Kesi ya pili ni hi indo ilonleta leo hapa, kama kawaida yangu kila mwezi nampelekea mzazi hela ya matumizi yake binafsi, sasa leo mwenyewe ametoka anaenda mjini madukani hata anafika dukani hela na simu haimo ndani ya mkoba. Alinipigia simu na kunieleza na kilichonikasirisha zaidi ana uhakika kua waliomuibia ni wale machinga waliopo pale mjini wanaoza njugu na sigara maana ukifika pale wanakungangania kama umewaita.
Ushauri wangu, ingawa tumeungana lakini serekali iwafukuze watanganyika wote wasio kazi sisi tumeshawachoka kutufanyia fujo hapa Zanzibar.