Watamjibu na Askofu Gwajima?

yaani uropokaji, porojo na story za pata potea kwa mtu aliepoteza uelekeo wa kisiasa ndio kukemea, right gentleman?🐒
 
yaani uropokaji, porojo na story za pata potea kwa mtu aliepoteza uelekeo wa kisiasa ndio kukemea, right gentleman?🐒
Wewe unachojali ni uelekeo wa kisiasa tu, hujali hata kama watanzania watatekwa na kuuawa.
 
Wakenya wanatutukana kinomanoma yaan ukiingia YouTube tunatutukana kisengeee, yaan dah ndio maana Gwajiboi kasogea front maana sio kwa ile mitusi ya Wakenya, eti sisi elimu yetu ni upuuzi? Watanzania ni Wajinga?
Ukiuliza kuwa 'Watanzania ni wajinga' unakosea mkuu!
Watu hulichukulia neno 'ujinga' kama ni upumbaf alionao mtu, huchukulia kuwa ni tusi.

Pia, ujinga ni kama wehu, mwehu huwa hajitambui na akielezwa na watu kuwa yeye ni mwehu hulalamika sana na kuubishia ukweli .
 
Hata wajibu vipi sisi tumeshajua genge la watekaji na wauaji wakosoaji ni genge la Rais mwenyewe.
 
Hili picha tamu sana tunasubiri maana gwaji boy siyo mtu wa mchezo mchezo
 
Dah siamini kukutana na coment ya namna hii…ar u mad?
 
Kwamba wakisema fyooo tu atachomoa betri🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…