GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,648
- 10,843
Nimeisikiliza hotuba ya Askofu Gwajima "akilihutubia" taifa! Ni hotuba nzuri iliyoweka mbele maslahi ya taifa! Si bure Watanzania wote wenye akili wanaifurahia!
Lakini imezoeleka kuwa kila anapoongea mtu mwenye uzalendo juu ya nchi ya Tanganyika huibuka wanaojiita "machawa" kumjibu kwa lengo la kuwatoa watu kwenye reli. Wameshafanya hivyo mara kadhaa kwa wazee wa Taifa: Jaji Joseph Sinde Waorioba na Mzee Butiku Nyerere!
Sasa safari hii kimeongea chuma kisichohofia mashambulizi. Ukilianzisha yeye analimaliza!
"Machawa" wanamfahamu Dr. Josephath Gwajima? Watathubutu kumchokonoa kwa kumjibu au watakubali yaishe?