Watamfungulia mashitaka au watamwacha?

Watamfungulia mashitaka au watamwacha?

Hilo linawezekana Ila akiwa anasindikizwa na makarandinga..ya Lissu cha mtoto!
Dah…..optics za yeye kusindikizwa na hayo makarandinga ni mbaya sana na watakuwa wanacheza na moto ambao unaweza kuja kuwaunguza wenyewe.

Inaweza ku backfire vibaya sana. Nchimbi anaweza kupata sympathy kubwa toka kwa wananchi ambao tayari wanamchukia Samia.

Watu wala tulikuwa hatumchukii kivile huyo jamaa. It was more kuchukiwa by association tu.

Na katika tenure yake hiyo ya umakamu [hata kama ulikuwa wa kiharamu], sikuwahi kumwona wala kumsikia hata mara moja akiunga mkono yaliyotokea Oktoba 29. Kama alitoa kauli za kuyaunga mkono, basi sikuona.

Huo ukimya wake kuhusu hayo mauaji, spoke volumes.

Halafu ongezea sasa na jumuiya ya kimataifa ambayo inatuangalia kama mwewe aliyepo angani.

Quite frankly, I dare Samia to arrest him and perp walk him…..

She is playing with fire…..
 
Hilo linawezekana...ina maana kuna kamatakamata kubwa itatokea kwenye vyombo vya usalama.
Mzee una habari nyeti za kutoka jikoni?

Maana umekuwa ukidokeza dokeza kuhusu hiyo kamata kamata hususan kwenye vyombo vya usalama.

Ila acha tu iwe hivyo. Kwa tulipofikia, kama ni kweli, hiyo migawanyiko ndani ya hivyo vyombo ndo inahitajika.

Manake hivyo vyombo vya usalama ndo vinampa kiburi huyo Samia.

Naamini wapo wazalendo huko ambao wanazijua habari za Indira Gandhi na Laurent Kabila……..
 
Kwanza mpaka sasa naamini usalama wake upo hatarini sana maana hakuna anaejua yupo wapi. Tunategemea wabunge kuhoji alipo na hata baadhi Yao kupinga alichofanyiwa ila sijui kama wataongea lolote au watanyamaza kama kondoo kwa kuogopa na wao kufukuzwa .ngoja tusubiri.
 
Sijui kama Nchimbi alikuwa amejiandaa kukabiliana na dhahma ambazo zinaweza kumkuta baada ya kufukuzwa kutoka CCM na kuachia madaraka haramu aliyokuwa nayo.

Hapa nawaza tu kama labda watamfungulia mashitaka ya kula njama za kufanya uhaini au mapinduzi au whatever.

Nchimbi, kwa nafasi yake haramu aliyokuwa nayo, atakuwa anajua mengi ya kutosha, hususan yale ya Oktoba 29.

Wakimfungulia mashitaka, watakuwa wamefungua boksi la pandora, jambo ambalo sidhani kama wako tayari kukabiliana nalo.

Nyie mnaonaje? Watamfungulia mashitaka au watamwacha aende zake ila labda watamnyanyasa kwa njia zingine kama kumsumbua kupata mafao [kama anayo], labda kumnyang’anya au kumpunguzia walinzi, na kadhalika.

Ila pia kwenye mambo kama haya mara nyingi mtu huwa hayupo peke yake tu.

Huko CCM sijui ni akina nani wengine ambao wako na Nchimbi kwenye yale aliyoyaongea.
"baada ya kufukuzwa kutoka CCM na kuachia madaraka"! Usahihi ni kwamba Nchimbi alianza kuachia madaraka na baadaye CCM ilimfukuza uanachama, huo ndio ukweli, si sahihi kuupindisha.
 
Sijui kama Nchimbi alikuwa amejiandaa kukabiliana na dhahma ambazo zinaweza kumkuta baada ya kufukuzwa kutoka CCM na kuachia madaraka haramu aliyokuwa nayo.

Hapa nawaza tu kama labda watamfungulia mashitaka ya kula njama za kufanya uhaini au mapinduzi au whatever.

Nchimbi, kwa nafasi yake haramu aliyokuwa nayo, atakuwa anajua mengi ya kutosha, hususan yale ya Oktoba 29.

Wakimfungulia mashitaka, watakuwa wamefungua boksi la pandora, jambo ambalo sidhani kama wako tayari kukabiliana nalo.

Nyie mnaonaje? Watamfungulia mashitaka au watamwacha aende zake ila labda watamnyanyasa kwa njia zingine kama kumsumbua kupata mafao [kama anayo], labda kumnyang’anya au kumpunguzia walinzi, na kadhalika.

Ila pia kwenye mambo kama haya mara nyingi mtu huwa hayupo peke yake tu.

Huko CCM sijui ni akina nani wengine ambao wako na Nchimbi kwenye yale aliyoyaongea.
Ccm kwa roho mbaya waliyokuwa nayo yote maovu kwake yanawezekana hivyo bado wakumbuke katiba mpya ni dawa ya uonevu na manyanyaso kwa Watanzania na zaidi Watanganyika.
 
Back
Top Bottom