ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
na tena unikute naimba taarab utanitaka wengi hudhan mie ni Nasma Kadogo(rip) kwenye kuimba lol!
nakukubali mwalimu
Mungu ni mkuu sana na ni wa kuheshimiwa barazani pa wenye mizaha.Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22).
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
unakumbuka siku nilipoimba Kinyago cha mpapuree??
nakumbuka zaidi ulipoimba mhogo wa jang'ombe
Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22).
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
Sauti yangu humtoa nyoka pangoni hata babu Asprin analijua hilo
hapo nikijituma
View attachment 98944
huyo chini sijui atakuwa nani vile
na tena unikute naimba taarab utanitaka wengi hudhan mie ni Nasma Kadogo(rip) kwenye kuimba lol!
huyu nae nani....?