Watambue madalali wa shetani

Yeah imagine kitu kama hicho kinafanyiwa biashara
 
Kwani wewe huamini bible juu ya kuwepo manabii wa uongo?
 
Yesu aliwalisha watu elfu tano wakala wakasaza .
Nabii Au mtume wa uongo analishwa Na watu elfu tano.
Wewe tulishawahi kukutana sehemu nini? maana niliwahi kusema sentensi hiyo watu walicheka sana
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shetani kwa mara ya kwanza alipiga story na demu wake Adam na hata sasa hao unaowaita mawakala wa shetani wafuasi wao wengi ni mademu
Pengine ni ndugu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…