Barantogwa
Senior Member
- May 3, 2014
- 125
- 152
Jamani habari za Jumapili.
Kuna rafiki yangu yupo Morogoro, siku kazaa zilizopita alinitumia picha hiyo hapo chini👇,
Akiniomba nimsaidie kuulizia kuwa hayo ni madini Gani na thamani yake ikoje sokoni?
Mimi Sina ujuzi juu ya madini na Vito, kwa mwenye uelewa naomba msaada wenu.