Watakuwa wanaongea nini hawa?

Watakuwa wanaongea nini hawa?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
rtr3aho5.jpg
 
Sema hiyo njemba Putin nouma anapiga balaa Obama huwa hamsalimii anaogopa.
 
kuna ule wimbo wa taarabu........mahaba ya dhaaaaaaatiiiiiii.......................
 
Hao wote wana machungu na Mmarekani tokea huyo mama meseji zake za siri za simu kusomwa na Obama bila ruhusa yake na inawezekana hizo SMS zilikuwa ni za hao wawili hapo pichani we angalia tu hiyo body language!
 
Inaonekana hujui kinachoendelea kati ya markel na Putini. Ni kwamba hawa jamaa mpaka sasa ni bifu nzito na ya kufa mtu kati ya German na Russia na inahofiwa vita baridi nyingine is 'looming larger'
 
Nikweli sio kila kitu ninajua mkuu! ni mtazamo tu
 
Hao wote wana machungu na Mmarekani tokea huyo mama meseji zake za siri za simu kusomwa na Obama bila ruhusa yake na inawezekana hizo SMS zilikuwa ni za hao wawili hapo pichani we angalia tu hiyo body language!

Kwahyo wanapanga malipizi?
 
Back
Top Bottom