Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,970
- 51,134
Watanzania kwa hofu wanaongea kama wananong'ona lakini wakisemacho kuhusu mahakama ya Tanzania kinatoa mwangwi wenye kishindo.
Jee mahakama inasikia wakisemacho wananchi kuhusu uhuru na weledi wa mhimili huo kwenye kufanya maamuzi yenye maslahi kwa Taifa letu?
Jee mahakama inasikia wakisemacho wananchi kuhusu uhuru na weledi wa mhimili huo kwenye kufanya maamuzi yenye maslahi kwa Taifa letu?