Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

😹😹😹😹 Mama la mama igweeeeeee

Wee mtoto unawanyima raha sana mashangazi humu..!!

Kwanza D pole kwa msiba 😥

Sasa turudi kwenye jambo letu, kwani fake anaumia nini mpk anakufatiia namna hiyo km kakuzaa vile??

Mahi unipe namba za mganga wako una balaa sana wewe wanaume wanalia km vichaa na wanawake wanapagawa km wana mapepo khaaaa..!! 😹😹😹
Thank you, ila hiyo pole iunganishe kwenye Novena huko usalipo na Mungu atakubariki sana..

Hayo mengine sijasoma
Sitaki chuki mpya mjini 😁
 
Thank you, ila hiyo pole iunganishe kwenye Novena huko usalipo na Mungu atakubariki sana..

Hayo mengine sijasoma
Sitaki chuki mpya mjini 😁
Nitaiunganisha usijali..!!

Hili bana haliwezi kuisha hivi hivi, kwanza kuna screenshot nimepewa nasikia ulikanywa kunikwoti lamomy.. Huyo fake yeye km nani akukanye kuhusu mimi??

Yani Fake P njoo hapa utoe maelezo vizuri kilikuuma nini mpk ukatoa ushauri??

Hili nnalo coz mmenitaja na mnipe maelezo wote..!!
 
Imekuuma kutajwa ?🤣🤣
 
Siogopi darling but I'm in love with you najiuliza why tumefananishwa?
Na sio tu kufananishwa, mtu anatumia nguvu kubwa kujiaminisha wewe ni mimi, mimi ni wewe? Na matusi juu? Vitisho? What for?

Au sababu tunaandika good writting? Me sioni sababu nyingine wallah..
Ukiandika comment inanyooka hiviii rula ikasome 😆 space inazingatiwa, aya zipo na alama za mikato ziko on point 👌

Mjukuu wa Mwandambo nimechokaaa🔥
Kuna mahali nilisemwa mimi na huyo huyo dada ako ati nme team up na Binti wa Zamani. Wakati huyo dada simjuiii ni ile mwanzoni wakati anaandika nyuzi alikuwa ananimention najitokeza kucomment..

Ah bana.. masaa yanakaribia ya Rosary
Wacha niende
Vidole visije kuteleza nikajikuta naandika ma
Paragraph hapa, nikakosana na Malaika mlinzi wangu 🔥🔥
 
Back
Top Bottom