Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

😁😁😁 nimecheka sana wallah mbavu zinauma 🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Cheka mama, najua hali unayopitia
Happy X Factor GIF by X Factor Global.gif

Alooo 😀😀😀 hatari sana
Zaidi ya sana
 
Nimewamiss wanajukwaa.
Njooni tubadilishane mawili matatu, jichagulie swali hapo chini tupige story!

  1. Je wajua kwamba wanawake wana kiungo kimoja mwilini ambacho kazi yake ni kusikia raha tu na hakina kazi nyingine yoyote? Kama unakijua kitaje na utuambie wewe huwa unakishughulikiaje?

  2. Nifundishe kitu ambacho unahisi nitakua sikifahamu.

  3. Ukitaka mwenzako aje kwako au awahi kurudi nyumbani kwa sababu unataka akupe mambo, huwa unamuambiaje?
    Mie nina 2 ambazo hazijawahi kufeli; Baba ……. urudi mapema leo nina hamu na wewe & mpenzi leo nimepika ……… ila uje kwanza kunila mpishi, niko kitandani nakusubiri.

  4. Kitu gani ulishawahi kukishuhudia kwa macho na hutakisahau kamwe?

  5. Ushawahi kukutana na maumbile ya binadamu yakakushangaza? ilikuwaje?

  6. Kama kawaida: niulize swali lolote nitakujibu!

    View attachment 3575053
PEleka huu upuuzi wako kule instagram
 
Back
Top Bottom