ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,704
- 42,079
Uzi upi umerudi?Uzi umerudi, ila sio sawa
Uzi upi umerudi?Uzi umerudi, ila sio sawa
Sina shughuli yoyote ya kueleweka, unataka kunipa kibarua kiongozi?Hivi Binti wa zamani unajishughulisha na shughuli gani ya kiuchumi kwa hapa tz?
Sorry kama nakosea.
Duhh kama ni kweli, pole sana achana naye sijui mnagongana wapi mpaka hamyamalizi haya!Hakuna hata ndio maana nashangaa lol🙌
Wa mshanaUzi upi umerudi?
Anataka wewe umuweke sawa 😂Pole sana mkuu, utakaa sawa tu
Sijui hata kipenzi mwanzoni nilichukulia simple heh naona anazidiDuhh kama ni kweli, pole sana achana naye sijui mnagongana wapi mpaka hamyamalizi haya!
Mi si uoni mbonaWa mshana
Duuuh 😂😂 hatari sana, eenhe walikuona? au ulitoka kabla hujaonekana?sitasahau mwl mkuu akanituma nikamwite mwl kwake niktoka spidi mbio nakuta mwl kakunjwa sebuleni na mratibu akipelekewa moto
Hahah watoto situmiagi😅Anataka wewe umuweke sawa 😂
Aliku pm tena?Sijui hata kipenzi mwanzoni nilichukulia simple heh naona anazidi
Mbona upo tunamjibu hukuMi si uoni mbona
Unataka minjemba kama yule dada aliesema GHahah watoto situmiagi😅
NitagMbona upo tunamjibu huku
Nop ali ni quote kwenye uziAliku pm tena?
Hmm huyo mguu wa mtoto sitoweza!🤣 ila vijana mi siewezi kwakweli😅Unataka minjemba kama yule dada aliesema G
Amasema sio kuhusu bwana! Sijui kwanini huyo bwana kaingia hapa sasaNop ali ni quote kwenye uzi
Naona watu wamepanic , nilidhani masikhara ðŸ«Sijui hata kipenzi mwanzoni nilichukulia simple heh naona anazidi
Huo uzi mbona mi si uoniAmasema sio kuhusu bwana! Sijui kwanini huyo bwana kaingia hapa sasa
Kwanini sasa anifate PM na kuniita malayaAmasema sio kuhusu bwana! Sijui kwanini huyo bwana kaingia hapa sasa
Alooo mimi uzi siuoni tena sijui kwanini😢Naona watu wamepanic , nilidhani masikhara ðŸ«