Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Si kweli professional body yenu tu CPA (TZ) ndo ina magumashi tu. Mmekaa kiwizi wizi tu.Badala ya kukimbilia kufutwa angalia kwanini ilianzishwa. Professional bodies kuwa na mipaka ndani ya nchi ni kawaida. Hata marekani wana CPA yao
Kwani wewe una nini kichwani?usidharau mtu. Wewe mbona unadhani umeandika kitu kizuri lakini ss tunaona kama std 7ila hatusemi?Ukikutana na huyo CPA holder utadhan umekutana na trafiki anayekutishia kukupiga faini na mashine yake ya EFD. Kichwan weupe kupitiliza
Ndo nyie nyie CPA (T) holders mnaojikusanya pale Mnazi Mmoja shule ya msingi tuition/review. Full ku-kremishwa. Mkitoka hapo ni kwenda kutapika kwenye mtihan then muanze kuiba huko halmashauriKwani wewe una nini kichwani?usidharau mtu. Wewe mbona unadhani umeandika kitu kizuri lakini ss tunaona kama std 7ila hatusemi?
pale akili ndogo ipo changia mada kubwa mambo huwa hivi.........................CPA ifutwe kozi ngumu halafu haina maana yoyote .
Long time wahindi walihamia kwenye ma ACCA figisu za akina bwashee ziliwashinda!
Basi Mengi alifanya jambo zuri saaaaana.Bwashee alikuja akafuta yale ma BBC. Naboce na NAD 1&2 akaleta ma Atec na CPA na wakati ule ilikuwa ni akina Swai, Lyatuu, Massawe, Lyimo, Kavishe and the like ndio waweza ipata hiyo CPA (T) vinginevyo utakula supu hadi ya mawe!
Ndio inatakiwa kabisaa,tena wakaze zaidi na zaidi.Si kweli professional body yenu tu CPA (TZ) ndo ina magumashi tu. Mmekaa kiwizi wizi tu.
Wakuu,
Inasemekana hadi leo bodi ya Wahasibu na ukaguzi wa mahesabu (NBAA) wameshindwa kutangaza matokeo ya CPA Exams.
Sababu kuu sijafahamu lakini kwa kumbukumbu zangu toka Prof ASSAD ateuliwe kuwa CAG nafasi yake kama NBAA Board Chairman haijajazwa.
Kama board muda wake umeisha na hakuna Chairman wa kuteua nyingine maana yake hakuna wa ku approve matokeo. Kama sababu ni hii bora itafutwe njia ya haraka kuwasaidia wanafunzi kujua matokeo na kujipanga kwa mitihani ya mwezi May 2018.
Kwavile JF ni kisima cha habari pengine tukajua exactly kinachochelewesha matokeo. Kuna wadau wamepewa deadlines vibaruani kuclear CPA toeni matokeo wajue ni mbivu ama mbichi.
Wapo kibaoHivi kuna Mhindi (simaanishi ubaguzi) ambae anajihangaisha na hiyo CPA (T). Stuka ndugu
Ndio inatakiwa kabisaa,tena wakaze zaidi na zaidi.
Mpk leo nchi yenye watu zaidi ya mil. 50 CPA holders hawazidi 10,000,safi saaaana.
Neema sio kichwa kwa taarifa yako,kuna mambo kibao yanamshinda kushauri serikalini kuhusu accounts anabaki kubumba.Si ateuliwe kichwa Neema Kiure Msusa tusonge ....
Akili za Lumumba hiziCPA ni mradi ulioletwa na Mengi na umetumika sana kuifisadi serikali!
Fafanua kuhusu Prof.Asad,imemgharimu vipi kuwa CAG,si ni shavu like?Hawezi kukubali huo Uteuzi kwa kuwa itamgharimu Kama ilivyomgharimu Prof Assad
Neema ni Partner wa Ernest & young
Neema anafanya Kazi ya consultancy na Treasury kwenye kutengeneza sera na uandaaji wa mahesabu ya jumla ya Serikal
Neema ni Mjumbe wa Bodi ya Wahasibu Duniani kanda ya Africa
Kwa kuteuliwa kwenye hiyo nafasi kutokana na conflict of interest atapoteza fursa nyingi japo kibongo bongo ukiteuliwa ukamchomolea Yule Mzee anakupora tenda zote kwa kumdharau
Ni kweli katika hilli Mwenyekiti mstaafu Mengi na Mkurugenzi/ mwenyekiti mstaafu Utoh ni wa kupongezwa kwa kuimarisha uchumi na kukuza sekta ya " udalali" nchini!Basi Mengi alifanya jambo zuri saaaaana.
Nampongeza kwa hilo.
Kwani watanzania wote ni " watunza" vitabu?!!......jiongeze kidogo!Ndio inatakiwa kabisaa,tena wakaze zaidi na zaidi.
Mpk leo nchi yenye watu zaidi ya mil. 50 CPA holders hawazidi 10,000,safi saaaana.
Ndo nyie nyie CPA (T) holders mnaojikusanya pale Mnazi Mmoja shule ya msingi tuition/review. Full ku-kremishwa. Mkitoka hapo ni kwenda kutapika kwenye mtihan then muanze kuiba huko halmashauri
Ndio inatakiwa kabisaa,tena wakaze zaidi na zaidi.
Mpk leo nchi yenye watu zaidi ya mil. 50 CPA holders hawazidi 10,000,safi saaaana.