MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 19,990
- 34,838
Wakuu,
Inasemekana hadi leo bodi ya Wahasibu na ukaguzi wa mahesabu (NBAA) wameshindwa kutangaza matokeo ya CPA Exams.
Sababu kuu sijafahamu lakini kwa kumbukumbu zangu toka Prof ASSAD ateuliwe kuwa CAG nafasi yake kama NBAA Board Chairman haijajazwa.
Kama board muda wake umeisha na hakuna Chairman wa kuteua nyingine maana yake hakuna wa ku approve matokeo. Kama sababu ni hii bora itafutwe njia ya haraka kuwasaidia wanafunzi kujua matokeo na kujipanga kwa mitihani ya mwezi May 2018.
Kwavile JF ni kisima cha habari pengine tukajua exactly kinachochelewesha matokeo. Kuna wadau wamepewa deadlines vibaruani kuclear CPA toeni matokeo wajue ni mbivu ama mbichi.