CPA
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 809
- 354
wife ana suzuki swift la 2004, taa ya EPS kwenye dashboard mara ya pili inagoma kuzima mpaka aendeshe kwa kilomita kadhaa azime na kuwasha tena ndio inazima. Sielewi hii taa ya EPS inamaana gani na tatizo nini? kila fundi ananiambia kivyake, mpaka nimechoka.