Xiang Hao
Senior Member
- Nov 19, 2016
- 126
- 97
Habari wanandugu pande zote za ulimwengu naombeni msaada wenu hapa siku tano zilizopita nime install UBUNTU kwenye laptop yangu lakini kutokana na kutokujua ninachokifanya ilipelekea kufuta vitu vyangu vyote.
Ila hilo sikuliwaza sana kwa sababu nilikuwa na vitu kidogo na pia sijatumia gharama kubwa kuzipata hivyo jana nikaamua kupiga windows 10 na Ubuntu sasa balaa likaanzia hapa kwanza ubuntu kuitumia siwezi lakini naipenda maana mara yangu ya kwanza kuitumia ilikuwa ni mwaka 2011 kwa brother wangu from another mother na sijui nilikuwa natumia Ubuntu ngapi lakini kwa sasa natumia ubuntu 13.10.
Tatizo langu kwenye ubuntu nashindwa ku install program na pia kwenye windows 10 imekuwa nikiitumia kwa muda kidogo hata kama ni dakika 5 tu inakuwa nzito mno, Pia upande wa mouse kwenye 10 inakuwa nzito ila hili lilikuwa kuanzia nanunua hii laptop lakini kwenye ubuntu ipo makini kabisa. msaada wenu naomba je nimekosea wapi? upande wa windows 10 na upande wa ubuntu naomba mnijuze jinsi ya kuitumia japo kuistall program mpya.
Natanguliza shukrani.