Mkuu weka partions kwenye harddrive yako alafu hakikisha windows(x) inakuwa installed kwenye one of the partions zako, baada ya kuhakikisha kila kitu kina run vizuri switch off laptop yako iwashe tena wakati umeweka Ubuntu OS CD kwenye dvd drive ya laptop, cd itaanza process ya kuinstall lakini itakuuliza i-install kwenye partion hipi, select partion ambayo hipo wazi itainstall kila kitu including drivers zinazo matter.
Ukisha naliza process nzima lap top yako itakuwa na uwezo wa ku dual boot yaani ukiswitch on inakupa choice uchague OS unayo taka ku run kati ya Windows au Ubuntu - hapo sasa itategemea chaguo lako.
Binafsi sipendi kutumia a third party apps mfano: wine nk ku-run linux distros kama Ubuntu na nyingine kwenye Windows OS(platform) matokeo yake wakati mwingine ni highly unpredictable in terms of conflicts zinazo weza kutokea - ndio maana na insist kwamba acha Windows i run kwenye partions yake independently na Linux distros kama Ubuntu, Mandrake,Fedora, SuSE nk. nazo zi run kwenye partion nyingine.
Tumia unayo ta