Msaada wa kuifanya memory card kua default storage Samsung J5

baraka muyabi

Senior Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
162
Reaction score
58
Wakuu habari za muda.. Natumai mu wazima na majukumu ya hapa na pale hasa katika suala zima la TEHAMA
Ninatumia Samsung J5 ina ukubwa wa GB 4 internal storage yake...nimenunua memory card ya GB 8 niifanye iwe default storage lakini sijaona options yoyote ndani ya simu ya kuifanya memory card iwe default storage yangu ya applications ..naomba msaada nifanye vipi katika setting ili niweze kuongeza ukubwa wa simu kupitia memory card.
 
Unaweza mkuu kwa Adb comands na sio kazi ngumu, ila kabla hatujaenda huko una memory card gani? Si kila memory card unaweza ukaifanya internal storage.

Jaribu kutafuta apo yoyote ya kupima speed playstore uicheki hasa random read/write speed.
 
Wadau nina tecno yangu kila nikiizima na kuiwasha inaleta msg zaidi ya tatu za muamala wa tigo pesa nilowahi kuufanya,hii imekua kero maana simu hua nzito sana,Msaada tafadhari,nawezaje ku_solve hii kesi?
 
Unaweza mkuu kwa Adb comands na sio kazi ngumu, ila kabla hatujaenda huko una memory card gani? Si kila memory card unaweza ukaifanya internal storage.

Jaribu kutafuta apo yoyote ya kupima speed playstore uicheki hasa random read/write speed.
Chief Mkwawa memory yangu ni SanDisk..halafu Adb command siijui kabisa mkuu
 
Ukieka memory card ambayo ipo slow ujue na simu yako itakuwa slow hadi kuitumia itakuwa shida.
Okay...namna nzuri ya kuweza pata memory card yenye speed ntawezaje kuitambua...pia namna ya kulitatua tatizo la storage katika Samsung J5
 
Wakuu habari za muda.. Natumai mu wazima na majukumu ya hapa na pale hasa katika suala zima la TEHAMA
Ninatumia Samsung J5 ina ukubwa wa GB 4 internal storage yake...nimenunua memory card ya GB 8 niifanye iwe default storage lakini sijaona options yoyote ndani ya simu ya kuifanya memory card iwe default storage yangu ya applications ..naomba msaada nifanye vipi katika setting ili niweze kuongeza ukubwa wa simu kupitia memory card.
mi nnatumia hiyo simu
dawa yake ni ndogo tu
kwanza root
pili install link2sd app
baada ya hapo utakuwa na uwezo wa ku move from phone storage to sd card..
simu itahema
 
Back
Top Bottom