Wataalamu wa simu,hii auto advertise naitoaje

Wataalamu wa simu,hii auto advertise naitoaje

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,714
Natumia tecno L8+ sasa leo toka asubuhi kila dakika screen inafunikwa na tangazo mara fastjet,mara sportpesa mara hii mara ile.
Kuna wakati nilisoma humu Uzi unaelezea setting kublock hayo ma auto advs. Nikumbusheni wakuu
Naatach screen shot
 
Ingia setting
0f193d7ea9be0ed3713f6617e8eeefd3.jpg
 
Hakikisha kabla ya kufanya hivyo umefanya backup, maana ukitoa namba za simu zilizopo kwenye simcad vingine vyote vitafutika
 
Backup data zako kama picha na document kwenye google drive. Kama una bando la kutosha zicomand uache zikifanya backup usiku mzima asubuhi itakuwa imemaliza then wipe everything
 
Mimi sijuw wanani bleu sijuwi wapuuzi hani kwenye simu yangu ya tochi wananitumia sms tena kwa jina langu nachukia mpaka bass
 
Natumia tecno L8+ sasa leo toka asubuhi kila dakika screen inafunikwa na tangazo mara fastjet,mara sportpesa mara hii mara ile.
Kuna wakati nilisoma humu Uzi unaelezea setting kublock hayo ma auto advs. Nikumbusheni wakuu
Naatach screen shot
kuna application umeistall ndio imejaa hayo matangazo sasa chakufanya uifute hiyo app au kama bado unaipenda utumie app za kublock ads kama adaway, adblock plus n.k
 
Back
Top Bottom