Msaada Lnb ya c-band ya single solution.

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Wanajf wenzangu naombeni msaada kwa wataalamu waliokwishaitumia au wanaofahamu jinsi ya kuifanyia installation kuanzia kwenye antena configulation maana ukitumia frq hizi tunazozitumia kwenye hizi lnb za kawaida za cband haikubali.
 
kwa chanel gani kama ni itv unapunguza tarakimu ya pili ya frq inakuwa sifuri mf. 3642frq 8545sym unaifanya inakuwa 3042frq 8545sym
 
Wanajf wenzangu naombeni msaada kwa wataalamu waliokwishaitumia au wanaofahamu jinsi ya kuifanyia installation kuanzia kwenye antena configulation maana ukitumia frq hizi tunazozitumia kwenye hizi lnb za kawaida za cband haikubali.

antena seting . Low lnb freguency weka 5750. Kama utopata picha hizo freguency zidisha au punguza kwa 600 kwa mfano tbc ni 3891+600=4491 hii ndo freg yako ikigoma punguza 600
 
Na lnb high frq iweje? Na symbolate inabakia hivyohivyo.
 
nnavyofaham single solution lnb,kwanza kama wataka kuitumia kwa local channels itv,tbc na nyinginezo,unapoishika lnb na kuitazama kwa ndani wakati kichwa chake chatazama juu,kuna kitu kama kimbao kidogo kina rangi ya njano au orange,kile kinakuwa ndani ya box la lnb uliyonunua.Chukua hicho kimbao,wakati lnb umeishika kama nilivyokueleza,endapo utaingiza hicho kimbao ndani ya lnb kikiwa kimesimama wima,manake hapo una config ITV,EATV,CAPITAL na TV MOZAMBIQUE,ziwe VERTICAL,na STAR TV,TBC,CH 10 kuwa HORIZONTAL,na endapo utakiingiza kikiwa kimelala,manake itakuwa umefanya kinyume na itv,eatv,capital na mozambique zitakuwa horizontal na nyingine zitakuwa vertical.Hiyo ni set up ya lnb yeyote ya C band,baadae tunaendelea na config ya single solution,Channel 10 is back,intelsat 906,4065 V/H 2848
 
Mkuu kwa hayo maelezo hakuna shida yoyote ila ujue kuna lnb za cband za panorama,eurostar na nyingine huwa kinyume cha maelekezo yako.Ninachoulizia hapa ni frq kama hizo ulizotoa za ch ten 4066/2848 zitasomekaje kwenye lnb ya single solution?
 
ni hv kaka,mfano ni eurostar single solution,kama uliweka kile kimbao kikiwa kimesimama ndani ya lnb kama nilivyotoa maelezo namna ya kuishika,manake utakuwa umeconfig ch 10,tbc,star tv kuwa horizontal,kwa hiyo kwenye receiver yako watakiwa uingize freq 3465 h/v 2848,ukisha minus 600,haijalishi utaweka v/h itakubali kaka,
 
nnavyofaham single solution lnb,kwanza kama wataka kuitumia kwa local channels itv,tbc na nyinginezo,unapoishika lnb na kuitazama kwa ndani wakati kichwa chake chatazama juu,kuna kitu kama kimbao kidogo kina rangi ya njano au orange,kile kinakuwa ndani ya box la lnb uliyonunua.Chukua hicho kimbao,wakati lnb umeishika kama nilivyokueleza,endapo utaingiza hicho kimbao ndani ya lnb kikiwa kimesimama wima,manake hapo una config ITV,EATV,CAPITAL na TV MOZAMBIQUE,ziwe VERTICAL,na STAR TV,TBC,CH 10 kuwa HORIZONTAL,na endapo utakiingiza kikiwa kimelala,manake itakuwa umefanya kinyume na itv,eatv,capital na mozambique zitakuwa horizontal na nyingine zitakuwa vertical.Hiyo ni set up ya lnb yeyote ya C band,baadae tunaendelea na config ya single solution,Channel 10 is back,intelsat 906,4065 V/H 2848

ukichungulia ndani ya lnbf kuna mistari miwili kile kibao uchomekwa hapo kikiwa wima. Huwa hakilazwi mkuu ukilaza kile kibao kitaziba signal
 
hujanielewa kaka,namaanisha hvii,wakati umekiweka kikiwa wima,zungusha hiyo lnb yako nyuzi 90,alafu kiangalie,ndivyo nnavyomaanisha ninaposema,ukiingize kikiwa kimelala kaka
 
hapo chawa
 
Back
Top Bottom