Wataalamu wa Rwanda wawe na vitambulisho maalum na gari zao ziwe na namba tofauti

MABAKULI

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
1,754
1,644
Kama kweli wanakuja wapewe vitambulisho tofauti na wataalam wa kibongo na magari yao yawe na namba tofauti kama X-Rat (yaani Expert Rwanda Affiliated Tanzania) ili tuepuke matapeli wakajifanya ni maexpert wa Rwanda kumbe ni kutokuwa na uelewa wa teknolojia tu.
 
Je, wakija wataalam kutoka Israel si utasema hata wake watafutiwe?
Mawazo mgando.
 
pilau la idi halijakutoka je wakija wataalam wakutoka izraili siutasema hata wake watafutiwe mawazo mgando
NDIO NITASEMA WATAFUTIWE WAKE KWA SABABU KATIKA VITABU VYA DINI BINADAMU WA KWANZA ALITOKA ISRAEL NA SISI TANZANIA TUNAWEZA BAHATISHA KUTOA MTOTO WA MWISHO DUNIANI
 
Sidhani kama atawaleta Wamempa vipande vyake sasa amefuta ile kauli yake kimya kimya! Hawezi kuwaleta ni aibu pia sio salama kwa usalama wa nchi! Ameshaurika in hard way
 
Kama kweli wanakuja wapewe vitambulisho tofauti na wataalam wa kibongo na magari yao yawe na namba tofauti kama X-Rat (yaani Expert Rwanda Affiliated Tanzania) ili tuepuke matapeli wakajifanya ni maexpert wa Rwanda kumbe ni kutokuwa na uelewa wa teknolojia tu.

Wanaleta utaalamu upi ambao kwa miaka 50 ya uhuru hatuna na wao wanao.
 
Sidhani kama atawaleta Wamempa vipande vyake sasa amefuta ile kauli yake kimya kimya! Hawezi kuwaleta ni aibu pia sio salama kwa usalama wa nchi! Ameshaurika in hard way

Mengine hufanya kukomoa wanaompinga.

Kwa mfano kwa kutaja machache:

1.Makonda kupandishwa cheo toka u-DC hadi u-RC na kuachwa Dar

2. Richard Kasesela DC, Iringa ameachwa kuwakomoa wanamsesema DC huyo.

3. Prof. Muhongo amepewa cheo kile kile alichopigiwa kelele na bunge hadi kujiuzulu. Ameteuliwa ili kuwakomoa wanaompinga.
 
Back
Top Bottom