Wataalamu wa photo editing

Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,235
Points
1,195
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,235 1,195
Habari zenyu Wakuu? wazima? mimi nipo poooouwa.

Kuna picha moja hapa nahitaji kuzitoa pembe zake zote za pembeni yaani ibaki bilauri/glasi (ninamatatizo ya r na l) kama glasi tu, naweza tumia photo editing software gani rahisi for beginners? kama kuna mtu anaweza nisadia kazi hiyo pia nitashukuru.

picha yenyewe ni hii:
Maji-ni-uhai.jpg
ni nyeupe background yake pengine unaweza usiione vizuri hapa lakini unaweza kuiona vizuri hapa: maajabuyamaji.net
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,790
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,790 2,000
hapo adobe photoshop ni one click tu umemaliza kazi kwa picha kama hio.

1. Download application adobe photoshop version yoyote kuanzia cs3 (cs3, cs4, cs5 au cs6)

2. Install kila kitu

3. Open photoshop juu utaona button imeandikwa file click hapo itpopup click open then itakuja sehemu ya kuchagua image then chagua image yako.

4. Upande wa kulia utaona vi icon vingi kuna kimoja kimekaa kama ki wand cha harry poter kinaitwa magic wand kiclick na utaona picha yako imekua highlited baina ya bilauri na background.

5. Bonyeza edit then cut utaona background imepotea imebaki bilauri.

Sometime maybe hio bilauri unaitaka kuipaste kwenye background nyengine itabidi uicopy so before kucut utaright click then utachagua select inverse ndo ucut.

Kama hio njia nyepesi ya magic wand haitachagua vizuri alternative utachagua selector tool then taratibu utapitisha kwa pemben ya angle za bilauri.

Hope nimesaidia
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,235
Points
1,195
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,235 1,195
Chief,
Tafadhari kaka yangu ifanye mwenyewe hiyo kazi, nimepanga kujifunza photoshop kwa namna yeyote ile ila kwa sasa too tight sina muda kabisa ila nitakapokuwa tayari nadhani utakuwa msaada mkubwa sana. Tafadhari ifanye hiyo kama una muda lakini na kisha nitumie, shukrani.

hapo adobe photoshop ni one click tu umemaliza kazi kwa picha kama hio.

1. Download application adobe photoshop version yoyote kuanzia cs3 (cs3, cs4, cs5 au cs6)

2. Install kila kitu

3. Open photoshop juu utaona button imeandikwa file click hapo itpopup click open then itakuja sehemu ya kuchagua image then chagua image yako.

4. Upande wa kulia utaona vi icon vingi kuna kimoja kimekaa kama ki wand cha harry poter kinaitwa magic wand kiclick na utaona picha yako imekua highlited baina ya bilauri na background.

5. Bonyeza edit then cut utaona background imepotea imebaki bilauri.

Sometime maybe hio bilauri unaitaka kuipaste kwenye background nyengine itabidi uicopy so before kucut utaright click then utachagua select inverse ndo ucut.

Kama hio njia nyepesi ya magic wand haitachagua vizuri alternative utachagua selector tool then taratibu utapitisha kwa pemben ya angle za bilauri.

Hope nimesaidia
 
Forum statistics

Threads 1,285,668
Members 494,728
Posts 30,869,829
Top