Wataalamu wa pc nichukue au?

Wataalamu wa pc nichukue au?

Mtu anayeuliza specs za PC jf miaka hii huyo ni mshamba kupindukia aliezaliwa miaka ya 2005 mpaka 2009 kutokea huko maporini shule za kata kalipwa boom Sasa ndio ushamba wa kununua PC sabuwuufa nk unaanza!
 
Mkuu Mtoa Uzi Kaomba kusaidiwa.Hatuko Hapa Kuoneshana Umeishi Mjini Miaka Mingapi.Msaidie Kama huna msaada Usitype chochote.Wajuaji Kama nyie Jf Ndo Huwa Mnachafua Threads
 
Back
Top Bottom