Wataalamu wa pc nichukue au?

Wataalamu wa pc nichukue au?

Radium

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2022
Posts
490
Reaction score
871
550k
IMG-20230329-WA0000.jpg
 
Kama haina kipengele chochote nunua, na itakusaidia kwa mambo mengi kwasababu inauwezo mzuri na hata kama mpenzi wa games pia iko powa
Kwahyo baada ya chuo inaweza sogeza baadhi ya mambo binafsi ya muhimu?
 
Natak nikichukua iwe long term kidogo so apart from kusomea ni vitu gani labda itafaa huko mbelen?
Kwa bio bei specification sio mbaya, ila kama unataka machine long term unahitaji angalau gen ya 8 kupanda, ila hutapata kwa laki 5.
 
Kama 550K kwa Hizo Specs Alfu Used Si sawa Sana,Labda Ingekuwa Refurbished Hapo sawa.Used hiyo Unaweza Pata Kwa 450K au Below.Mm Nilipata
8GB Ram,500 HDD pia Ilikuwa Na SSD 256
,Core i5,Touch screen Kwa Bei Kitonga Sana.
Ukiyajua Machimbo Lakini
 
Em ilo chimbo nielekeze na ulichukua bei gan
 
Back
Top Bottom