mangelengele
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 1,293
- 1,102
Nyi naona mmeanza kuchangia bla kujua hyo jamaa anakaa wapi na ofc zpo wap? Tatizo alilonalo co internet wala intranet km mpo makini naye, huyu tatizo ni Bandle/kifurushi. Internet ni world wide network ambayo any one can access ili mradi uwe na applicatn na kifurush. Bt Intranet ni limited network. Me nlivomuelewa ofcn kwao wanatumia internet(public network) sasa anataka either kushare bandle or ifike nyumbani kwake. c than km anataka macomplication mengi hvyo. Km ni kushare bundle nadhan amuone ISP wao wkt wa kurecharge na inabd uwe na line yako. Km unataka ile ile ya ofcn ikufkie, hapo ndo devices zna apply, ndo maana makampuni ya cm yanatumia minala ili kusafirisha signals. So its not that simple. Km ISP wako ni TTCL, Zantel au Voda, bac kupitia line zao unaweza kuaccess the bundle mnayotumia kazn ila nadhan kibali kitoke ofcn, otheryz wataala toka makampuni yanayotoa huduma ya ISP waje