Wataalamu wa ndoto pitieni hapa

Wataalamu wa ndoto pitieni hapa

Mimi ninachojua ndoto ni kweli kama haijatimia kwako itatimia kwa Mtu wa
20190204_114937.jpg
a karibu yako sana.
Kuna wakati uliyemtaja huwaza sana juu ya mwenendo wake kazini pamoja na mfumo wa sasa ulivyo na pia anaonekana kuwa na mtazamo hasi kwa mkewe na ujauzito wake ingawa inawezekana siyo kila mar
Kwa msingi huo akili yake imehifadhi picha nyingi zinazopingana na matamanio yake katika Uncoscios Mind na anapolala Uncosscious Mind inaretrieve picha ambazo aliziingiza mwenyewe kama mawazo halafu inazijengea maubile kwa sababu akili huumba.
Hapa ndipo tunapoita nimeota
 
  • Thanks
Reactions: T11
Suluhisho Mwambie jamaa asome sana vitabu vy kutia moyo inspirations mfano " The power of positive thinking cha Dr Norman Peale
 
  • Thanks
Reactions: T11
Mimi ninachojua ndoto ni kweli kama haijatimia kwako itatimia kwa Mtu waView attachment 1050166a karibu yako sana.
Kuna wakati uliyemtaja huwaza sana juu ya mwenendo wake kazini pamoja na mfumo wa sasa ulivyo na pia anaonekana kuwa na mtazamo hasi kwa mkewe na ujauzito wake ingawa inawezekana siyo kila mar
Kwa msingi huo akili yake imehifadhi picha nyingi zinazopingana na matamanio yake katika Uncoscios Mind na anapolala Uncosscious Mind inaretrieve picha ambazo aliziingiza mwenyewe kama mawazo halafu inazijengea maubile kwa sababu akili huumba.
Hapa ndipo tunapoita nimeota
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom