Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,053
Namna bora ya kuepukana na hilo tatizo na kulikwepa. Njia ya kwanza kama ni mtu mwenye imani amuombe Mungu wake aibatilishe hiyo ndoto ( ahirabu sawa na weapons za imani yake )
Kitu gani sasa mkuu
Asante kwa ushauri
Vipi kuhusu ndoto ya pili
Habari ilivyo ni kwamba mkewe ni mjamzito kwa sasa hivyo ndoto inamwambia mtoto sio wakeNdoto ya kwanza ni muendelezo wa ndoto ya pili, yaani ikitokea jamaa akafungwa kitacho fuatia mke wake kutiwa mimba, ila kama hatofungwa hatotutiwa mimba huyo mke wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo jamaa amekwisha
Unashauri aepuke vipi sasa
Habari ilivyo ni kwamba mkewe ni mjamzito kwa sasa hivyo ndoto inamwambia mtoto sio wake
Na si kwamba mke sio mjamzito kwamba akifungwa atakuta mke mjamzito
Asante mkuuHapo Kuna scenario mbili ,kama zamani ulishaota vitu na vinakuwa kweli hizo ndoto zinaweza shabihiana na mambo yatakayotokea.kama wewe sio mwotaji wa vitu vinavyotokea basi hizo ndoto zinaweza kuwa na maana nyingine kabisa.
Kama ulifungwa tu Gerezani na Hakuna jambo lingine lilotokea Ina maana kuna ushindi utapata ktk kazi yanaweza kuwa mafanikio makubwa Sana tofauti na ilivyozoeleka Au mafanikio ya kushangaza. Na watu wataulizana imekuwaje.
Suala LA kupata Mtoto ni Zawadi kutoka kwa Mungu. Kama ukiona Umepata Mtoto na huyo Mtoto Kuna mapungufu elewa kuna jambo unalolifanya Au mahusiano Au kitu ulichopata(kipo on progress) na hicho kitu ulimhusisha Mungu wakati unakiomba kiombee otherwise utakipoteza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamua nije nikuokoe maana watu wanasema ni wewe Ila hutaki kujitaja....Samahani kwa kutoa siri ni katika kukusaidia tu[emoji1]