Mkuu hapo itategemea unatuma katika mtandao upi, mfanao hapa jf unaanzisha topic katika jukwaa husika na hii ni katika mitandao ya kijamii kama fb, tweeter, blogs na forums mbali mbali ni bure kupost habari,
lakini kama unataka kutangaza bidhaa zako unamaanisha hayo ni matangazo, itabidi utoboke mfuko kulipia matangazo yako, ingawa nadhani ipo mitandao inaruhusu watu kuweka matangazo yao