Weka wazi zaidi suala lako-na utoe mfano.Wana JF naombeni kama kuna mwenye utaalamu wa kutuma habari au taarifa kwenye mtandao anisaidie,namaanisha hata kama sina website,najua huenda suala hili likahitaji shule ya mda mrefu lakini just kupata ideas.
Ahasateni.
Kwanza fafanua hapo kwenye red!Wana JF naombeni kama kuna mwenye utaalamu wa kutuma habari au taarifa kwenye mtandao anisaidie,namaanisha hata kama sina website,najua huenda suala hili likahitaji shule ya mda mrefu lakini just kupata ideas.
Ahasateni.
Mkuu hapo itategemea unatuma katika mtandao upi, mfanao hapa jf unaanzisha topic katika jukwaa husika na hii ni katika mitandao ya kijamii kama fb, tweeter, blogs na forums mbali mbali ni bure kupost habari,Mfano nina product fulani na ninataka kuujulisha ulimwengu au ninataka kutoa taarifa ya tukio fulani mfano ajali,nk.
Nadhani mmenipata.
Asante
Mkuu hapo itategemea unatuma katika mtandao upi, mfanao hapa jf unaanzisha topic katika jukwaa husika na hii ni katika mitandao ya kijamii kama fb, tweeter, blogs na forums mbali mbali ni bure kupost habari,
lakini kama unataka kutangaza bidhaa zako unamaanisha hayo ni matangazo, itabidi utoboke mfuko kulipia matangazo yako, ingawa nadhani ipo mitandao inaruhusu watu kuweka matangazo yao